luku inanikondesha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

luku inanikondesha

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sop sop, May 27, 2012.

 1. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  hv wakuu nashindwa kuelewa hawa tanesco yaan kila wiki hapa nyumban buku kumi lazma itutoke afu ukiamgalia tuna taa za kawada pac na jag la umeme tu hamna kitu kinachokula umeme zaid ya hvyo so wakuu nisaidien kama kuna njia mbadala ..........mungu awabarik
   
 2. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,246
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  wiring system yenu inavujisha umeme...kuna mawaya yatakuwa yanatupa umeme
   
 3. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Mkuu, cheki mfumo wa usukaji waya! inawezekana kukawa na waya wa live umegusa waya wa earth, jaribu kumtafuta fundi unayemwamini aliye karibu nawe akuangalizie.
   
 4. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Hakuna cha wiring wala nini! hata mie nimeona mabadiliko hayo ya units kukimbia kuliko ilivyokuwa kawaida kipindi cha nyuma. Nimepata pia malalamiko ya watu kadhaa baada ya kudhani ni kwangu tu. Hata ivyo naona kwa kama wiki moja sasa kama consumption imerudi normal. Mi nahisi kuna namna tanesco wanatuhujumu. Na kwa records tu, hata mwaka juzi kina kitu kama hiki kilitokea, ilikuwa ukiweka units 50 kwa mfano, zinakata ndani ya siku kumi bila kiwango cha matumizi kuongeza.
   
 5. M

  MZALAMO JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 471
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 60
  Mkuu live wire ikigusa wire wa earth lazima earth leakage circuit breaker itiripu.Kinachokula umeme ni hilo jagi la kuchemshia maji ambalo lina watt zaidi ya 1000w.
   
 6. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hili swala luku kukimbiza nimesikia watu wengi wanalalamika hata hapa ninapokaa kwa siku units 25 zinaenda ila kuna kipindi ilikuwa 10 kwa siku.
   
 7. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  sasa wakuu nimechoka aisee kama kuna njia ya kuhack hyo luku niambien
   
 8. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,974
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Check wiring mara nying earth rod ni fake acha ubishi ichimbue uicheki,jamaa angu alikuwa na tatizo kama lako,alipoichimbua earth rod akakuta imeoza(sio ya copper ilikuwa ni chuma kilichapaka coPper) alipofunga nyingine tatizo likaisha
   
 9. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  hacking ya luku ipo. Hata kwe2 imefanyika then inabd ifanyke kiwiz, kwasis 2nakaa na wapangaj ila kwa cku n unit 3 , ali hacking yake ilisababsha luku kushndwa kuzma umeme hata luku ikiisha so huwa ina2bidi 2jaze kabla haijapukutika. Tafta m2 muhun kutoka tanesco. Atakufanyia maujanja,
   
 10. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,296
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Huo ni uwizi na ufisadi sisimizi huo..
   
 11. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,296
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  nenda tanesko watakusaidia na kukupa majibu muafaka, siku hizi watu wanahack hadi luku za watu, inawezekana kuna watu wamehack luku yenu, mkiweka umeme mnatumia nao...
   
 12. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  duh unantamanisha hapa kwetu umeme wa 55000 unakaa wiki 3
   
 13. b

  bung'a Senior Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mimi wa 80000 siku 20
   
 14. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,428
  Likes Received: 3,790
  Trophy Points: 280
  Check earthing system ya nyumbani kwako. Tatizo la wengi ni kuwa wanapenda sana kuweka earth rods ambazo si pure copper (urahisi wa bei). Earth rod iliyochanganywa na impurities nyingine huwa inaliwa (kwa kutu au corrosion) taratibu kadri siku zinavyosogea na hivyo hufikia wakati kunakuwa hakuna earthing nzuri. Kuijuwa earth rod nzuri jaribu kubandika sumaku juu ya earth rod, na ukiona inashika juwa imechakachuliwa na kama haishiki hata kidogo hiyo ni pure copper..... kumbukeni pure copper is non magnetic material... Earth rod nyingi, hasa zile za 3000, huwa zinapakazwa cpper juu, wakati ndani ni chuma kingine....
   
 15. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Ugumu wa maisha kaka ndo unasababisha.
   
 16. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 955
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Hebu tudhibitishie hilo kwa maelezo japo kwa ufupi.
   
 17. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  yeah ryt,watamsaidia hivi hawa jamaa unawajua walivo na nyodo,hilo shirika ni utumbo 2 umebaki,siasa uchwala zimelidumaza mpaka mwisho
   
 18. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  jagi lisababshe ilike 10000 kwa wk huku ma2mizi yake ni lyk 1 o 1.5hrs 2 nahh hapo kuna tatzo
   
 19. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #19
  May 29, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  jagi likitumika kwa muda wa lisaa limoja na kama ni la 1000W hiyo inakuwa ni unit moja au kwa kitaalamu ni 1KWh. (kilowat hour moja). ambayo wanasema ni unit moja. sasa kama unit moja ni kati ya sh.200 au 300? kwa siku saba ni buku mbili na ushee. na kama wanatumia pasi kubwa nayo ni 2000W. kama nayo wanatumia lisaa limoja kwa siku nayo itakuwa buku nne. jumla buku sita. weka service charge ths 1500. na vat 20 percent. hapo tena hatujasema kama wanatumia taa za njano au zile energy saver? tv? radio? buku kumi inafika bila shida
   
 20. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #20
  May 29, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Jagi 1000w
  Pasi 2000w
  Tv 200w
  Radio 200w-450w
  Taa 200w-300w
  Kwa hesabu ya haraka kwa kiwango cha chini ni kama 3600W=3.6Kw let's say vifaa hivyo vinayumika at normal time, so nikama units 3.6 kwa siku ambayo ni kama sh720 hadi sh1080 kwa siku zidiaha mara 7 hapo hujasema kama mna heater,fridge na vifaa vingine vya umee, na pia vifaa mlivyo navyo vinafanya kazi kwa muda gani kwa siku, NAKUSHAURI KA VIPI TUMIA KITU CHA MKAA
  KUNYOOSHEA :)
   
Loading...