Luku iNAIBIWA Hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Luku iNAIBIWA Hivi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BABA JUICE, Nov 30, 2010.

 1. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapa nipo njia panda,jana nilienda kununua umeme wa elfu ishirini mlimani city,nikapata unity 105.1. VAT 18%, EWURA 1%, REA 3% julma 3,606.56(kodi)...leo nimenunua katika sheli ya BIG BON hapa mwenge umeme wa shilingi elfu ishirini na tano nikapata unity 131.4 VAT 18%, EWURA 1%, REA 3% julma 4,508.20(kodi), wataalamu waliosoma hesabu percentage zipo pale pale lakini kodi inaongezeka naomba ufafanuzi kama ww ni mjuzi wa mambo haya.....huu unaweza ukawa ndio wizi wa kitabu tusipofuatilia.
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Mlimani city kila kitu juu unalipia na parking pia!
   
 3. Insurgent

  Insurgent JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2010
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 469
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Zote mbili, ya kwanza na ya pili wamekata VAT tu. Inaelekea ulinunua ndani ya mwezi ule ule.
  Cha kushangaza sehemu zote mbili wameweka VAT kama 18.0328% badala 18%.
  Iliyozidi ni 0.0328%.
  Kuna mwenye wazo hiyo ni ya nini? Au ndio faida ya muuzaji?
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kwani faida ya muzaji unakatwa kwenye unit zako jmani si wanalipwa na tanesko
   
 5. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  20,0000 / 25,000 the ratio is 4/5

  3,606.56 /4,508.20 ratio ni 4/5

  They are right on the money, down to the cent. Kodi imebadilika kwa kiwango kile kile cha pesa ulichotumia, maana yake, kiwango cha kodi kwa asilimia kipo pale pale.

  Ukitumia hela zaidi, ingawa kiwango cha kodi kwa asilimia kipo pale pale, utachajiwa kodi zaidi kulinganisha na ukitumia pesa kidogo.
   
 6. M

  Matarese JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2010
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Baba Juice nawe mara ya kwanza umetumia 20,000 mara ya pili 25,000 hivyo kodi laziam iongezeke! tena wamekuhurumia EWURA NA REA hawachukua kitu, btw REA ndio watu gani?
   
 7. K

  Korosho Senior Member

  #7
  Nov 30, 2010
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 132
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hakuna wizi wowote hapo.

  20000/1.22 = 16,393 ndio gharama halisi ya umeme ulionunua. Tofauti 20,000-16393 = 3606.56 ni kodi.

  25000/1.22 = 20491.80. Tofauti (difference) i.e. 25000 - 20491.80 = 4508.20 ni kodi (VAT 18%, EWURA 1% ,REA 1%)
   
 8. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #8
  Nov 30, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkuu hii EWURA na REA ndio kitu gani?
   
 9. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2010
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Ebu ziweke izo karatasi zote mbili ulizonunulia huo umeme wa LUKU hapa jf tuweze kuona mtiririko wake la cvyo tutashindwa kuchangia thread yako.
   
 10. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mtiririko gani tena wakati ameshatoa kila kitu, hakuna wizi hapo kodi imeongezeka kutokana kuongezeka kwa fedha aliyotoa. 25000 itakatwa kodi kubbwa kuliko 20000.
   
 11. K

  Korosho Senior Member

  #11
  Nov 30, 2010
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 132
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  EWURA ni mamlaka iliyowekwa kisheria kushughulikia mambo yote ya nishati na maji kama ilivyo TCRA ambayo inasimamia mawasiliano au SUMATRA inayosimamia shughuli zote za usafiri.

  Sasa, according to Ministry of Energy & Natural Resources, REA is

  " The Rural Energy Agency (REA) was established by the Act of Parliament No.8 of 2005 as an
  autonomous institution to administer the Rural Energy Fund (REF). REA is governed by the Rural
  Energy Board (REB). The main function of REA is to promote investment in modern energy services by
  working with key partners and collaborators from the private sector, NGOs, CBOs, and Government
  agencies to mobilize resources in order to achieve its objectives.".

  http://www.rea.go.tz/LinkClick.aspx?fileticket=fvs3xjo68ts%3D&tabid=144&mid=554

  Katika maisha ya kila siku sijasikia hawa REA wanafanya nini. Hivyo hiyo 3% ya mauzo yote ya LUKU/nishati, ambazo ni hela nyingi sana, hatusikii miradi yoyote ambayo REA imefanya au inataka kufanya. Tofauti na VETA ambayo kwa miaka mingi ilikuwa inapata fedha kutokana na makato kwa waajiri.

  Hawa REA need to come out and explain where they take our money into....
   
Loading...