Lukamba Vs Kifesi

Wanazengo acheni masihara, Ma photographers wa domo ni Ma handsome bwana , warumi mie ningekua na roho ya kuhonga hawa wa kaka ningewaweka ndani waachane na habari za kutanga tanga kupiga picha hovyo, nawapendaga tu walivyo, they are my appetite , Ila Mimi nae kwa umalaya tu sijambo, kila mtu namtaka, Ila mwenzenu mbahili kiama mie mwenyewe mdangaji naanzaje kuhonga? Mxieww , yani muitaliano wangu ahangaike kunipa good life na Mimi nikahonge? No ways, bora ninunue dildo mwenzangu.

kifesi siku hizi ni official photographer wa Madam widow , Jacky Mengi , Jacky Shetani asije kukupitia ukaanza kumbaka kifesi na wewe , maana Sasa hvi utakua unajiachia kama kote. Na nasikia kifesi kafungasha hatar

Ila lukamba tulikua tunachat vzuri, siku hizi umeanza kujishaua sijui umempata nani mxiew zakoView attachment 1093320 View attachment 1093322View attachment 1093324View attachment 1093325View attachment 1093326View attachment 1093328
Huyu kifesi mbona kama sio riziki
 
Huyu wa kwanza si ndio kifesi, je jamaa ni mzima kweli, tuanze kwenye jina kifesi ndio jina lake km vile la ukoo au ndio kajipachika kifesi(kiface) kwamba mzuri(au maana nyingine inayoendana na hii)
Km kaamua kujiita kifesi kwamba ni sura nzuri basi ana walakin huyu kijana, mtoto wa kiume unajiitaje kifesi..
Halaf hiyo picha ya kwanza mbona kapiga sio kiume ume anaonekana mng'ata lipsi huyu na wang'ata lipsi wengi mjini ni mapunga hapa.
 
Kifesi alikuemo humu jukwaa la celebs anajianzishia nyuzi.. wananzengo wakampelekesha puta akakimbia.. sasa naona umemrudisha kiaina..
 
Kifesi alikuemo humu jukwaa la celebs anajianzishia nyuzi.. wananzengo wakampelekesha puta akakimbia.. sasa naona umemrudisha kiaina..

Siku hiz yuko busy na kampun kaacha umbea mume wangu mwacheni, mkewe warumi nipo naendeleza mtanange🤣🤣
 
Lukamba ni more handsome ila tatizo anaonekana bishoo sana...huyu ndio ile type ya mwanaume anajiangalia kwenye kioo masaa nane
 
Mahandsome hawapo hapo kama hawatoi matumizi handsome ni hela tu kwa mwanaume mengine kama hana hela ni mzigo kwa ***** na demu wake.
 
Kifesi alikuemo humu jukwaa la celebs anajianzishia nyuzi.. wananzengo wakampelekesha puta akakimbia.. sasa naona umemrudisha kiaina..
Alikuwa anakera sana.. Kila siku Diamond this, Diamond that.. Kuna kipindi nikakutana nae Sinza kwenye Chipsi nikamkumbushia hizo mambo akacheka sana.

Next time nikaenda ofisini kwao (WCB) kwa ishu za kikazi nikamwambia arudi JF basi akasema yupo ila kwa ID nyingine.

Kajamaa kalijua kujipendekeza aisee. Mpaka kakafanikiwa kweli. He is a hustler. I give him that!
 
Back
Top Bottom