Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,640
- 4,426
Mkuu uliongea ukweli akirudi mwambie huyu ndiyo morataM
Mkuu Chief naona leo unaendeshwa na mapenzi kwa timu yako kulko kuchambua kiuhalisia ..
Tunachosema hapa ni kuwa kwanza Morata awali aligombewa na timu mbili man na chelsea sasa jiulize kama Lukaku was the best kwann nyie man mliyltoa priority kwa Morata kabla ya kuzinguliwa na Madrid ndio mkaufyata mkachukua sec option ya lukaku...elewa mkuu kuwa Morata was and is the best as this time we are writting here..now
Kuhusu records za lukaku na morata wala huwez linganisha maana kabla ya kuwalinganisha lazima uchek wamecheza how many minites na sio idadi ya gemu, pia morata amecheza mechi chache na dk chache kutokana na kuzungukwa na magwiji akina ronaldo na benzema ila kama akiwekwa kwenye timu pekeake pale mbele kama na streaker wa pekee utaona impact yake..
We mkuu subiri uone mambo yake The-Bluuz kisha urudi hapa ucomment..