Lukaku, Morata na Lacazette: Nani mkali zaidi?

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
_97015631_morat_lukak_lacaz_reuters_getty2.jpg

Ilikuwa kama vile Morata asajiliwe na Man Utd na Lakaku asajiliwe na Chelsea. Lakini imekuwa kinyume chake. Man Utd wamemsajili Lakaku na Chelsea wanamsajili Morata.

Wapo wanaodai kuwa Lakaku ni striker mzuri zaidi kuliko Morata. Pia wapo wanaodai Morata ni mkali zaidi kuliko Lakaku.

Arsenal nao wamevunja rekodi yao kwa kumsajili Lacazette. Wako wanaodai kuwa Lacazette ni mkali zaidi ya Lakaku, au zaidi ya Morata au zaidi ya wote wawili.

Lakini nani alifunga magoli mengi zaidi msimu uliopita? Nani alifanya kazi kubwa kwa ajili ya timu yake. Nani atafanikiwa zaidi kwenye timu zao mpya? Kwa kifupi klabu ipi imepata dili nzuri?

Bado ni mapema sana kujua nani mkali zaidi, lakini siyo vibaya kutoa maoni yako juu ya nani aliye mkali zaidi japokuwa muundo wa timu nzima nao unachangia kwa striker kucheza vizuri zaidi na kufunga magoli ya kutosha.
 
Analysis
European football journalist Mina Rzouki on BBC Radio 5 live

If you offered me the choice between Morata and Lukaku, I wouldn't even think about it.

I would pay £20m or £30m more if I had to and I would bring in Morata.

That is because I would always prefer an intelligent player in my team. Even if he doesn't score as many goals, even if he doesn't do whatever he needs to.

If he is more intelligent then he can be moulded quicker, he can do what he needs to do. And Morata has Champions League experience. He was second top scorer for Real Madrid despite not starting.

He has done it at Juventus and he has done it at Real Madrid.

He understands, he has the pace, he is intelligent, he links up play, he can be a counter-attacking threat.
 
Analysis
European football journalist Mina Rzouki on BBC Radio 5 live

If you offered me the choice between Morata and Lukaku, I wouldn't even think about it. That is because I would always prefer an intelligent player in my team. Even if he doesn't score as many goals, even if he doesn't do whatever he needs to. If he is more intelligent then he can be moulded quicker, he can do what he needs to do.

Sijawahimfutilia Morata akicheza ila wachambuzi wanadai anacheza kama Diego Costa ila siyo powerful kama Costa. Wanadai technically Morata yupo vizuri zaidi na kuwa atapatana vizuri na akina Hazard, Pedro, nk. Japokuwa kachezea timu kubwa kama Real Madrid na Juventus, Premier League ni tofauti.
 
Sijawahimfutilia Morata akicheza ila wachambuzi wanadai anacheza kama Diego Costa siyo powerful kama Costa. Wanadai technically Morata yupo vizuri zaidi na kuwa atapatana vizuri na akina Hazard, Pedro, nk. Japokuwa kachezea timu kubwa kama Real Madrid na Juventus, Premier League ni tofauti.
Nimeangalia EPL miaka mingi na wafungaji wengi nawafahamu, Lukaku ni kati ya wafungaji ambao hawajawahi kunivutia. Hana magoli mazuri, technically hayuko vizuri kabisa. Morata sijamuona sana akicheza lakini nikiangalia hata clips zake youtube zinavitia.
 
Morata is the best though naipenda lkn kama walikataa kuwauzia ungefanya nn lazima utafite alternative ....

Morata alikua aende man united ila madrid walikataa!!

Kwa nini walikataa? Mourinho alidai kuwa walishindwa kumsaji Morata kwa sababu walishindwa kukubaliana bei. Kwamba ndo iliyofanya Man Utd kwenda kumnunua Lakaku kwa £75. Lakini Real Madrid wamekubali kumwuza Morata Chelsea kwa £60m.

Hapo ndo najiuliza ni sababu gani hasa Madrid walikataa au waliwatamkia Man Utd dau kubwa?
 
Nimeangalia EPL miaka mingi na wafungaji wengi nawafahamu, Lukaku ni kati ya wafungaji ambao hawajawahi kunivutia. Hana magoli mazuri, technically hayuko vizuri kabisa. Morata sijamuona sana akicheza lakini nikiangalia hata clips zake youtube zinavitia.
Lukaku anategemea nguvu tu ni stereo type ya player Hana mbinu za kuwatoka walinzi ukiamua kumkaba anaweza kukushinda kutokana na nguvu ila ukiziba njia (zonal marking) haendi popote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachoamini mimi ni kuwa Diego Costa ni striker mzuri zaidi kuliko hao wote wawili.Kwahiyo kuwa na Lukaku au Morata badala ya Costa ni anguko.

Nikiwazungumzia hao wawili naona Lukaku anachoweza kumzidi Morata ni kuwa na uzoefu na premier league tu.
 
Kwa nini walikataa? Mourinho alidai kuwa walishindwa kumsaji Morata kwa sababu walishindwa kukubaliana bei. Kwamba ndo iliyofanya Man Utd kwenda kumnunua Lakaku kwa £75. Lakini Real Madrid wamekubali kumwuza Morata Chelsea kwa £60m.

Hapo ndo najiuliza ni sababu gani hasa Madrid walikataa au waliwatamkia Man Utd dau kubwa?
Florentino Perez ana kinyongo na man u baada ya dili la de gea kuzngua ....ndo mana kawabania morata
 
Nimeangalia EPL miaka mingi na wafungaji wengi nawafahamu, Lukaku ni kati ya wafungaji ambao hawajawahi kunivutia. Hana magoli mazuri, technically hayuko vizuri kabisa. Morata sijamuona sana akicheza lakini nikiangalia hata clips zake youtube zinavitia.

Hapo ndo pana tatizo. Lakaku japokuwa technically siyo mzuri is a proved premiership striker. Hata hivyo, tofauti na Morata, Lakaku hajachezea timu kubwa. Kama Morata atafanikiwa Premiership kwa sasa ni ngumu kujua maana mabeki wa Premiership hawakupi hata nafasi ya kupumua.

Lakini on paper, wapo wakaotapenda Morata acheze na akina Hazard, Pedro, Willian, Kenedy, nk kwa sababu ni technical player kama yeye. Few weeks left. Time will tell.
 
Ninachoamini mimi ni kuwa Diego Costa ni striker mzuri zaidi kuliko hao wote wawili.Kwahiyo kuwa na Lukaku au Morata badala ya Costa ni anguko.

Nikiwazungumzia hao wawili naona Lukaku anachoweza kumzidi Morata ni kuwa na uzoefu na premier league tu.
sikunyingine jibu swali usijitungie maswali yako. swali ni morata against lukaku na sio morata and lukaku against DIEGO..

ukiongelea experience hata morata anaexperience zaidi kwenye UEFA league EPL striker yeyote mwenye akili nyingi anaweza akaadupt kama anazingukwa na viungo wazuri na chelsea wana hazard, williun, Pedro, Moses n.k

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Ninachoamini mimi ni kuwa Diego Costa ni striker mzuri zaidi kuliko hao wote wawili.Kwahiyo kuwa na Lukaku au Morata badala ya Costa ni anguko.

Nikiwazungumzia hao wawili naona Lukaku anachoweza kumzidi Morata ni kuwa na uzoefu na premier league tu.

Diego Costa anaweza kuwa bora kupia hao wawili ila sasa fujo zake zinaweza kudhoofisa. I am the big fan of Agueroooooooooooooooooooooo ....... I swear you'll never see anything like this again!

Back
Top Bottom