Luis Miqsonne achaguliwa mchezaji bora wa wiki CAFCL

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,072
103,284
Kifupi ni kwamba kati ya wakali woooooote wale toka Al Ahly, Mamelod Sundown, Esperance nk, Miqsonne ametisha kuliko wao.

Ana goli bora

Yupo kwenye kikosi cha wiki. Halafu dogo hata hajisikii wala haringi wala hana habari kabisa.

Screenshot_20210302-194050_Chrome.jpg
 
Na achaguliwe tu, haina shida

Who cares?
:cool:,

Angebeba Ballon D'or hapa JF tusingekaa mbona? Yaani kuchaguliwa kuwa mchezaji wa wiki kwa kale "kagoli ka kubahatisha" ndio kama ameyapatia maisha? 🚮🚮

Asivimbe kichwa kuona yeye ni hatari Africa nzima
 
Umefikia kiwango Cha juu sana cha roho mbaya, Kama uto mngekuwa wafuatiliaji wazuri kwenye sajili zenu hakika msinge mchukua mwana riadha Kisinda halafu mnakuja kumlinganisha na mchezaji bora Africa wa wiki Luis
usimfananishe TK MASTER na vitu vya kijinga tafadhali
 
usimfananishe TK MASTER na vitu vya kijinga tafadhali
WanaSimba acheni kumjibu huyu Kidimbwi anatafuta Kick kupitia nyuzi za WanaSimba. Mpuuzeni maaaana hata Mpira haujui maaana ana ushabiki Maandazi! Kisinda ambaye hayumo kwennye top 50 ya Wachezaji wa Timu ya Taifa ya DRC ndio umlinganishe na Konde Boy?? Mchezaji bora wa CAF kwa wiki?? Konde Boy kumfananisha na TK ni upungufu wa Akili uliopindukia. Luc Eyamel hakukosea kuwaita Nyani
 
WanaSimba acheni kumjibu huyu Kidimbwi anatafuta Kick kupitia nyuzi za WanaSimba. Mpuuzeni maaaana hata Mpira haujui maaana ana ushabiki Maandazi! Kisinda ambaye hayumo kwennye top 50 ya Wachezaji wa Timu ya Taifa ya DRC ndio umlinganishe na Konde Boy?? Mchezaji bora wa CUF kwa wiki?? Konde Boy kumfananisha na TK ni upungufu wa Akili uliopindukia. Luc Eyamel hakukosea kuwaita Nyani
kumbe mchezaji wa CUF 😂😂🤣🤣🤣 CIVIC UNITED FRONT
 
WanaSimba acheni kumjibu huyu Kidimbwi anatafuta Kick kupitia nyuzi za WanaSimba. Mpuuzeni maaaana hata Mpira haujui maaana ana ushabiki Maandazi! Kisinda ambaye hayumo kwennye top 50 ya Wachezaji wa Timu ya Taifa ya DRC ndio umlinganishe na Konde Boy?? Mchezaji bora wa CUF kwa wiki?? Konde Boy kumfananisha na TK ni upungufu wa Akili uliopindukia. Luc Eyamel hakukosea kuwaita Nyani
 
Kama sio uchawi huu,basi kuna kitu zaidi ya uchawi kipo hatujakielewa
Na achaguliwe tu, haina shida

Who cares?
:cool:,

Angebeba Ballon D'or hapa JF tusingekaa mbona? Yaani kuchaguliwa kuwa mchezaji wa wiki kwa kale "kagoli ka kubahatisha" ndio kama ameyapatia maisha?

Asivimbe kichwa kuona yeye ni hatari Africa nzima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom