LUHANJO: Sitta, Mwakyembe hawajazibwa mdomo kuzungumzia DOWANS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LUHANJO: Sitta, Mwakyembe hawajazibwa mdomo kuzungumzia DOWANS

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fareed, Jan 19, 2011.

 1. F

  Fareed JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ifuatayo ni taarifa ya Ikulu iliyotolewa jioni hii kuhusu sakata la Dowans....
  [FONT=&quot]
  [/FONT]

   
 2. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,519
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Nadhani ni matokeo ya kuandaa habari kabla ya tukio pamoja na kutumiwa na mafisadi katika kuivuruga serikali yetu. Why can't the editor, owner and publisher be prosecuted under National Security Act?
   
 3. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Kama ni kweli poa ila kwa nini jk hajatoa tamko la dowans??

  Na kama ni uongo mbona sijasikia hatua zilizochukuliwa kwa gazeti husika???
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  ukiona wanakurupuka na matamko ujue taarifa zilizopo ni za kweli.


  yaani kurugenzi ya mawasiliano ikulu inawasiliana kwa e-mail account ya Yahoo??

  kweli JK siyo makini.
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  chadema hawafanyi mambo bila evidensi.
   
 6. c

  chilljuice Member

  #6
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumuamini nani? maana hata hilo baraza linajichanganya na huyu katibu anamtumikia raisi tu au wananchi?

  Nasikia kichefuchefu......!:frusty:
   
 7. D

  DENYO JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Watahangaika sana mwaka huu-ukweli upo wanachokoza moto.
   
 8. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #8
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Jamani lisemwalo lipo,kwani kutoa kwake taarifa hakuzuii akina makyembe na sita kuzibwa midomo,yaweza kuwa ni taarifa ya kujitetea kwa wananchi wakati tayari wameshafanya kile walichokifanya
  hii ni tz bana

  mapinduziii daimaaaa:welcome:
   
 9. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  kwa gazeti ambalo mauzo yake yanategemea kuaminika kwa habari zake hakuna hatua kali za kulichukulia zaidi ya kuliondolea huo uaminifu.
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  hivi kukiwa na kikako cha baraza la mawaziri huwa inatangazwa?

  au uyu muzee anafikiri sisi majuha?

  zimevuja zimevuja tu.
   
 11. F

  Fareed JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nimesikia ni kweli mawaziri wote waliitwa kwenye kikao Januari 18, 2011. Ila hakikuwa Cabinet na Kikwete hakuhudhuria, huenda anakwepa Cabinet kwani suala la Dowans litaibuka na atatakiwa kutoa msimamo wake.

  Badala ya kikao cha Cabinet, mawaziri walifanyiwa orientation juu ya majukumu yao ya kazi. Kikao kilikuwa chini ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda na suala la Dowans halikujadiliwa kabisa.
   
 12. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  hilo wazo la kutumia national secuity act badala ya newspaper act umetoa wapi? una uhakika gani kama hii barua ya ikulu ni njama ya kuwapumbaza wananchi? kwanini hiyo barua haikuwataka tanzania daima kukanusha? unadhani kama ni kikao cha siri wangetaka wananchi wajue ukweli? tumia akili kwanza kufikiri kabla ya kuhukumu mtu kwa kutumia ushahidi wa mtu mmoja bila kuonisha na mwingine? sidhani kama gazeti wanakurupuka tu wakati sii la udaku,
   
 13. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280

  Kwa kweli hata uhalali wa Mary Chitanda kuwa mjumbe wa halmashauri ya Arusha walikuwa na evidence kabisa kuwa haukuwa sahihi.
   
 14. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kama kweli je?
   
 15. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,991
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  I have lost count on how many misplaced denials have come out of Ikulu in recent times.

  So... I will need to get my head examined if I were to believe the content of this Luhanjo's toilet paper!
   
 16. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,519
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Ish!! Kumbe ni CHADEMA. Basi habari hiyo ni ya uwongo na imelenga maslahi ya kisiasa.
   
 17. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,519
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Habari za Kikao cha baraza la mawaziri ni confidential. Washtakiwe tuone kama watakuwa na defense juu ya habari yao.
   
 18. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #18
  Jan 19, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Tusubiri tusikie Tanzania Daima watasemaje.
   
 19. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #19
  Jan 19, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  wataalam, kwa kutumia ontological approach of phylosophy ni lazima utagundua kua habari hiyo ni kweli kabisa, kwani maelezo toka kwa mkwere yanajitolesheza kumfanya kila great thinker ajue kua wanajitetea na kuficha ukweli kama jambo hilo si kweli kwa jinsi serikali imevyo jeruhiwa kwa mikasa ya arusha nahakika kabisa wangelifungia gazeti hilo na onyo kali lakini wanaogopa kwani ushahidi waweza tolewa wakaumbuka zaidi.
   
 20. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #20
  Jan 19, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli utabaki pale pale kwamba Sitta na Mwakyembe na baadhi ya viongozi hawakubali upuuzi wa JK na Dowans yake! Na wakumbuke pia kuwa Sitta na Mwakyembe bado wanaushawishi mkubwa ndani ya CCM, bunge na Serikali, hawapaswi kukurupuka itakula kwao!
   
Loading...