Luhanjo: Hakukuwa na kikao cha baraza la mawaziri jana.

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,552
2,359
Habari zilizotolewa na gazeti la Tanzania Daima kuwa kikao cha baraza la mawaziri kilichofanyika jana kiligubikwa na mjadala juu ya malipo ya Dowans zimekanushwa na Bw Luhanjo na kusema kuwa hakukuwa na kikao cha baraza la mawaziri jana.
source Chanell ten News at 7pm
My Take:
Nadhani umefika wakati Tanzania Daima na CDM kuchambua habari zote wanazoletewa kwani kuna move ya kuharibu credibility yao kwa kuwa feed na habari za uongo.
 
Naomba Mods muifunge hii, imekwisha tolewa na muungwana mwingine. Asanteni
 
Back
Top Bottom