Luhanjo akanusha Sitta, Mwakyembe kuzibwa midomo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Luhanjo akanusha Sitta, Mwakyembe kuzibwa midomo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jan 19, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Philemon Luhanji amekanusha habari zilizoandikwa ktk T. Daima leo kwamba Sitta na Mwakyembe wamezibwa midomo kuhusu suala la Dowans. Katika taarifa yake Luhanji kasema hakukuwa na kikao cha Baraza la Mawaziri jana lililoketi kuwajadili mawaziri hao wawili.

  Source: CH10 news bulletin saa moja usiku huu.
   
Loading...