Midevu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 272
- 435
Hivi kweli kipindi cha JPM walikuwa wakifanya matengenezo na umeme ulikuwa haukatiki?
Yaani walikuwa wanafanya vipi matengenezo bila kuzima umeme? Ninavyojua mimi ni kwamba wakati wa kufanya matengenezo lazima umeme uzimwe kwa ajili ya usalama. Sasa wao waliwezaje kutengeneza nguzo, transformer, transmition lines na umeme unawaka nchi nzima?
Kumbuka hatuna miundombinu ya kusema kila line ya umeme, iwe kubwa au ndogo ina diversion line, na wala transformer zetu na substations hazina back up. Sasa waliwezaje wezaje?
Hivi hii logic imekaaje wakuu? Naombeni mnifahamishe.