Lugumi, Tibaijuka, Chenge wakitangaza kuhamia CHADEMA, Je watapokewa?

Mwasita Moja

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,903
2,580
Kama CHADEMA ilivyojipambanua siku hizi kuwa ni chama cha kutetea wakwepa kodi, mafisadi na wauza madawa ya kulevya.

Basi bila shaka watuhumiwa wote wa mambo hayo wakitaka kujiunga CHADEMA watapokewa kwa shangwe na vigelegele.

Sasa nawauliza BAVICHA je watuhumiwa wa madawa ya kulevya, wakwepa kodi na mafisadi wakitaka kuhamia CHADEMA mtawapokea?
 
Kama chadema ilivyojipambanua siku hizi kuwa ni chama cha kutetea wakwepa kodi, mafisadi na wauza madawa ya kulevya.

Basi bila shaka watuhumiwa wote wa mambo hayo wakitaka kujiunga chadema watapokewa kwa shangwe na vigelegele.
Sasa nawauliza Bavicha je watuhumiwa wa madawa ya kulevya, wakwepa kodi na mafisadi wakitaka kuhamia chadema mtawapokea??
wenzako jana wamekosa madawa kwa mbowe wamekamata makaratasi ya muungano ndio kidhibiti
 
Kama chadema ilivyojipambanua siku hizi kuwa ni chama cha kutetea wakwepa kodi, mafisadi na wauza madawa ya kulevya.

Basi bila shaka watuhumiwa wote wa mambo hayo wakitaka kujiunga chadema watapokewa kwa shangwe na vigelegele.
Sasa nawauliza Bavicha je watuhumiwa wa madawa ya kulevya, wakwepa kodi na mafisadi wakitaka kuhamia chadema mtawapokea??
Ni pesa yao tu /Wakizimwaga hata leo watapokelewa na maandamano ya BAVICHA
 
Kama chadema ilivyojipambanua siku hizi kuwa ni chama cha kutetea wakwepa kodi, mafisadi na wauza madawa ya kulevya.

Basi bila shaka watuhumiwa wote wa mambo hayo wakitaka kujiunga chadema watapokewa kwa shangwe na vigelegele.
Sasa nawauliza Bavicha je watuhumiwa wa madawa ya kulevya, wakwepa kodi na mafisadi wakitaka kuhamia chadema mtawapokea??
mkuu, wewe binafsi unasemaje kuhusu hawa ndugu....ni mafisadi, si mafisadi? sasa hivi wapo chama gani?
 
Kabla hatujawapokea tutaangalia kama ni "assets" au "liability"
Binafsi sijuhi maana ya hizo terms "kisiasa"... ila maana ya " mshenga" najua!
 
CHADEMA ni kichaka cha waovu na wachafu. Lazima wawapokee
Kwa hiyo Lugumi, Prof. Tibaijuka na Chenge mmeshawahukumu kuwa ni waovu na wachafu. Hicho kikao kilikaa wapi.
Msipende kuwachafua watu. Au kuwachafua watu ndiyo Sera mpya ya ccm?
 
Kama uliowataja unakiri ni mafisadi-na leo wapo CCM
kumbe mtu akiwa fisadi ila akiwa CCM anaonekana sio fisadi ila akihamia chama kingine ndio anaonekana ni fisadi.
 
Kama CHADEMA ilivyojipambanua siku hizi kuwa ni chama cha kutetea wakwepa kodi, mafisadi na wauza madawa ya kulevya.

Basi bila shaka watuhumiwa wote wa mambo hayo wakitaka kujiunga CHADEMA watapokewa kwa shangwe na vigelegele.

Sasa nawauliza BAVICHA je watuhumiwa wa madawa ya kulevya, wakwepa kodi na mafisadi wakitaka kuhamia CHADEMA mtawapokea?
Tuanze na kujua hao watu uliowataja ni wanachama wa chama gani kwa sasa?
 
Kama CHADEMA ilivyojipambanua siku hizi kuwa ni chama cha kutetea wakwepa kodi, mafisadi na wauza madawa ya kulevya.

Basi bila shaka watuhumiwa wote wa mambo hayo wakitaka kujiunga CHADEMA watapokewa kwa shangwe na vigelegele.

Sasa nawauliza BAVICHA je watuhumiwa wa madawa ya kulevya, wakwepa kodi na mafisadi wakitaka kuhamia CHADEMA mtawapokea?
We Mwasita wakikuhitaji uthibitishe ufisadi wao ww utaweza?Hao wote wameshinda u bunge kupitia kura za wananchi ww unakurupuka kuwaita mafisadi, mbona watu mnajitafutia majanga? Ni heri kukaa kimya ungeonekana una akili .Unataka kituaminisha wananchi una uwezo wa kiwathibitishia wananchi na chama chao kwamba walichagua mafisadi?Waheshimiwa tena wengine wana nyadhifa bungeni una utani nao?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom