Lugha za asiri

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
6,823
14,173
Kwema wakuu,natafuta sehemu au chuo,kinacho fundisha lugha za asiri za hapa TZ,
nataka kujifunza kimasai,kichaga na kigogo,kwa anaye jua wapi nitapata msaada wa lugha hizo,naomba taharifa.nipo Arusha kwa sasa.
 
za asiri?
Sijaskia labda za ASILI,hizo zinapatikana kwa wazungumzaj husika na ni vzur ukaish nao kwenye maeneo yao ndo utazielewa hawana mtaala wale
 
Juan emanuel ...sijui kwa watu wanaokaa maeneo ya huko Kskazini juu ila kujifunza lugha za asili ni kwenda kukaa na watu waozungumza lugha hizo....Tanzania ni kiswahili na english..labda maeneo ya zenji kitaliano..kihispani..kifaransa..kijerumani nk...se quires esos idiomas habra que vivir con los nativos,no hay otra manera !!!
 
Kwema wakuu,natafuta sehemu au chuo,kinacho fundisha lugha za asiri za hapa TZ,
nataka kujifunza kimasai,kichaga na kigogo,kwa anaye jua wapi nitapata msaada wa lugha hizo,naomba taharifa.nipo Arusha kwa sasa.

nafikiri mazingira unayoishi yanaweza kuwa na watu wenye asili hizo na wakakufundisha hizo lugha.
Kama kigogo njo mpwapwa, mwenzio nishaanza kujua jua. Lol!
 
Chuo hakitakupa unachotaka!
Nenda live eneo la tukio...yaani kwenye asili ya lugha!
 
Back
Top Bottom