KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 1,776
- 1,535
Wachafu kweli.wachafu watatu
Ikijitokeza watafune tu maana nchi hii haina shukrani.Wazee wa miamala
Mkuu hata kama ni yakutoka kwa Wakwepa kodi na Drugs catels? ?Ikijitokeza watafune tu maana nchi hii haina shukrani.
Itimie wakiwa chama gani?.Wahamie tu CDM kwa maoni yangu lakini.Best three MPs,
Naomba huo utatu utimie
Mbona Bashite anatafuna na wao watafune tuu.Mkuu hata kama ni yakutoka kwa Wakwepa kodi na Drugs catels? ?
Hata wakiendelea na vyama walivyo navyo lakini waendeleze umoja na mshikamano wao wa kusema kweli na kuwatetea watanzania kwa dhati ya moyo wao inatosha.Itimie wakiwa chama gani?.Wahamie tu CDM kwa maoni yangu lakini.
Hawawezi kuhama.Wawaulize Lowassa na Mrema.Sasa wameshika bomba.Itimie wakiwa chama gani?.Wahamie tu CDM kwa maoni yangu lakini.
Hao uliowataja wamehama ccm wakiwa wazee. Hawa bado vijana sana wanaweza kufanya makubwa ktk harakati zao.Hawawezi kuhama.Wawaulize Lowassa na Mrema.Sasa wameshika bomba.
Mbona na wewe gamba umeshoboka pia?kuwaongoza watanzania ni kazi rahisi sana yaani picha tu basi kuna nyu.mbu wanashangilia.