Lugha ya mapenzi siku za mwanzo

Membe S K

Platinum Member
Mar 10, 2006
1,388
1,201
Chunga na akikisha kwamba unazijuwa lugha 10 za demu za kimapenzi katika siku za mwanzo, kwa faida na tahadhali yako.

1. Ukiona hajambi haina maana hana kijambio au shuzi.
Maana yake: "subiri nikuzoee, nitakujambia shuzi la kuchukiza nzi."

2. Ukimhonga fedha siku za mwanzo, hapendi.
Maana yake: "Dunduliza dunduliza halafu uninunulie gari"

3. Kitandani siku za mwanzo mgumu kujishughulisaha na usokotaji wa 'zawisa'
Maana yake: "Duh, sasa sijui nianze vipi kulifundisha hili jibaba, maana hata mtahala sijautunga."

4. Kaja na jozi kadhaa za viatu, vingine kaacha sebuleni, vingine mlangoni, vingine jikoni.
Maana yake: "Na huyo demu mwingine unaye mvizia, kama nikipofu wa kuona viatu vyangu nitamning'inizia chupi yangu kwenye kitasa cha mlango wa nje."

5. Weekend ikikaribia simu na text msg za mashoga zake haziishi kumsumbua na kukusumbua.
Maanake: "Tulieni mashoga zangu, bado sijui kiasi cha Chenge kwenye account yake ya nje."

6. Husipovaa mpira hatufanyi ng'o, huu ndio msimamo wangu
Maanake: "Kumbe dume hili halina mpango wa ndoa wala watoto, hasara tupu."

7. Najuwa leo umekuwa mvivu wa kwenda kununua mipira, kwanini?
Maana yake: "Labda nikikuonjesha kavu utakwenda kutoa posa"

8. Hile restraurant tunayokwenda kula weekend imenichosha, na chakula chao ovyo.
Maana yake: "Ukome kunipeleka pale, mana rire rijamaa ririronibikiri ndiro ririlo ninawisha mikono kabra ya chakura."

9. Sitaki kula sana, natunza figure, wala husiangaike kuagiza chakula kingi, sahani moja kwa wawili inatosha dear.
Maanake: "Eboh, unataka ninenepe alafu uoe rafiki yangu mwembamba, bila ndoa sijanenepa bado, hapendwi kuku wala wali hapa, posa tu."

10. Mama namwambia kila kitu, yani kama mshikaji wangu tu.
Maanake: "Anashangaa utanioa lini"
 
Hongera mwana MMU!.Wewe kwa hakika ni mtaalamu wa saikolojia ya msichana mwenye boyfriend.
 
napata sana usumbufu kutoka kwa warembo kisa nna meno mazuri..

Senki yuu sana. Ingekuwa sio David ungewagawia dada zetu wooooooooooooote hayo meno mazuri ila sas ndo hivyo wanataka vitumbua kwa vitumbua na 100 kwa 100, sijui mimba itashikaje hapo
 
Teh teh mi kuna mmoja alikuwa anasafiri nikataka nikamchukue kwao morning akadai usije mama atanielewa.kumbe nilipigwa mkwara bana kama kuku kurushiwa mahndi ili ashkwe apelekewe kisu
 
Back
Top Bottom