Lugha ya Kisafwa...!!

Mwagona !!
hii Lugha asili yake wapi? ni kbantu kweli?
Tofauti kati ya kuoga na kunawa ni nini?

kisafwa ni kibantu pure. This is the information from ethinologue of Languages of the world

Safwa

A language of Tanzania

Population
158,000 (1987).
Region
Mbeya region, Mbeya Urban, Mbeya Rural, Chunya, and Mbozi districts, Mbeya and Poroto mountain ranges.
Alternate names
Cisafwa, Ishisafwa, Kisafwa
Dialects
Guruka, Mbwila, Poroto, Songwe.
Classification
Bantu origin from Niger-Congo, Atlantic-Congo, Volta-Congo, Benue-Congo, Bantoid, Southern, Narrow Bantu, Central, M, Nyika-Safwa
Language use
Vigorous. Home. All ages. Also use some Swahili
Language development
Grammar.
Comments
Agriculturalists: maize, rice, sunflowers, cassava, wheat, and peas. Cash crops include cotton, potatoes, and coffee; animal husbandry: goats, sheep, and cows. Traditional religion, Christianity.

NOTE:
baadhi ya makabila ya kibantu kunawa na kuoga yanatumia neno moja.

eg wafipa: kunawa na kuoga wanasema- kufulala lakini lazima utofautishe. ukiishia kusema amekwenda kufulala - amekwenda kuoga. na ukisema amekwenda kufulala mikono,miguu, uso etc - amekwenda kuosha/kunawa miguu, uso, mikono etc
 
Mwagona !!
hii Lugha asili yake wapi? ni kbantu kweli?
Tofauti kati ya kuoga na kunawa ni nini?

Mugonile ndama.

Mimi ni Msafwa na ni Mbantu.

Baadhi ya maneno yanayotamkwa karibu sawa na hivyo kuyatambulisha makabila ya kibantu ni pamoja na:
Ng'ombe
Mtu
Kichwa
na kadhalika
 
kisafwa ni kibantu pure. This is the information from ethinologue of Languages of the world

Safwa

A language of Tanzania

Population
158,000 (1987).
Region
Mbeya region, Mbeya Urban, Mbeya Rural, Chunya, and Mbozi districts, Mbeya and Poroto mountain ranges.
Alternate names
Cisafwa, Ishisafwa, Kisafwa
Dialects
Guruka, Mbwila, Poroto, Songwe.
Classification
Bantu origin from Niger-Congo, Atlantic-Congo, Volta-Congo, Benue-Congo, Bantoid, Southern, Narrow Bantu, Central, M, Nyika-Safwa
Language use
Vigorous. Home. All ages. Also use some Swahili
Language development
Grammar.
Comments
Agriculturalists: maize, rice, sunflowers, cassava, wheat, and peas. Cash crops include cotton, potatoes, and coffee; animal husbandry: goats, sheep, and cows. Traditional religion, Christianity.

Ngoma yao - Impeta
 
Ahsante sana kwa majibu woote, pmwasyoke endaga sana mwadada ani nili whilambo (ILAMBO) Wana Jamii welcome Uporoto, ijombe(hatwelo), iwalanje ....
Utingo wewe ni msafwa nini au anakiskia skia tu...!!upo juu
 
ahsante sana kwa majibu woote, pmwasyoke endaga sana mwadada ani nili whilambo (ilambo) wana jamii welcome uporoto, ijombe(hatwelo), iwalanje ....
Utingo wewe ni msafwa nini au anakiskia skia tu...!!upo juu
mbona unanichanganya wewe ni wailambo au wa uporoto,ijombe,iwalanje???? Unanichanganya bwana!
 
Ahsante sana kwa majibu woote, pmwasyoke endaga sana mwadada ani nili whilambo (ILAMBO) Wana Jamii welcome Uporoto, ijombe(hatwelo), iwalanje ....
Utingo wewe ni msafwa nini au anakiskia skia tu...!!upo juu

hapana mkuu mimi si msafwa, pamoja na wenzangu tunajishughulisha na kazi ya kuendeleza lugha za asili kwa kuanzisha na kuendeleza tahajia, utafiti wa isimu na kuandika vitabu ili kutunza kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.
 
Ahsante sana kwa majibu woote, pmwasyoke endaga sana mwadada ani nili whilambo (ILAMBO) Wana Jamii welcome Uporoto, ijombe(hatwelo), iwalanje ....
Utingo wewe ni msafwa nini au anakiskia skia tu...!!upo juu

Amatawa aganji bwana! Eshiwe itawa lyaho ilyo lyi shisafwa kweli? Anne ifuma hwiduda. w'ili lyambuzi?
 
Ahsante sana kwa majibu woote, pmwasyoke endaga sana mwadada ani nili whilambo (ILAMBO) Wana Jamii welcome Uporoto, ijombe(hatwelo), iwalanje ....
Utingo wewe ni msafwa nini au anakiskia skia tu...!!upo juu

Ani impapilwe whilambo. Nitakupm tufahamiane vema zaidi.
 
Mnyakusa"Huku Mbeya tulima fiasi lakini hatufiiiili!" vipi Dar? Wanafiila sana! Tanga? Wanafiila saaaana! Zanzibar je? Yaaani huko ndio wafiila mno! Lol!
 
Ilambo nimeenda tu kufanya vibiashara ati humwetu pala waiga Galijembe hula humaamini? @pmwasyoke upamenye fwene mwadada?
ani nili mvuli wa mwaifweya...!!
 
Galijembe, Isyonje! Huko mwezi wa sita na wa saba hakufai kwa baridi.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom