Lugha ya kiingereza hata Kenya ni tatizo acheni Kujimwambafy.

Maelfu ya Watanzania wapo nje ya Africa wakifanya Maisha huko, Wachina na Wazungu na Wahindi maelfu kwa maelfu wanafika Tanzania na Kutoka kila siku,
Hawa wakija Tanzania wanahudumiwa kwa Kiluhya?
Are they complaining that they experience communication Challenges in Tanzania?
Sasa wasi wasi ambao mnao ni wa nini kama mnajua kwamba nyinyi ni magwiji? Si mje Kenya mtufunze kiingereza ndio na sisi pia tukielewe kama nyinyi.
 
Back
Top Bottom