Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 6,320
- 3,283
hilo bandiko ni la karne ipi mbona uko nyuma hivi??? sasa hebu nionyeshe hizo treni mulizoletewa tuzione hapa sasa.Ona mkenya mwenzako alivyoandika kitu cha maana,
Wewe endelea kuandika ujinga na unajua uchumi wenu unaenda wapi pamoja na mnachofanyiwa na wachina.