Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,876
- 2,744
kichaga kukiongea rahisi (kwa mchaga) ila kuandika ni ishu. kuna maneno hayaandikiki mfano:
- shira (vita). hiyo 'r' kwenye kizungu ingetamkwa read. r inateleza
- mara (majani). hiyo 'r' sijui inafanana na neno gani. labda usemapo 'lile' kiswahili cha dar
- ngambura (kipande cha nyama). hiyo 'r' kwa kiswahili ingetamkwa ramani
- lanye (jamani). hiyo 'l' kwenye kiarabu ingetamkwa allah l inakuwa nzito
- chi inyi phfo (sio mimi). hiyo phfo sijui kama inatamkwa hivyo
- halya (pale). mgongo wa ulimi unagusa kaakaa la juu la kinywa, sio kichwa cha ulimi
- kyikyi (nini). mgongo wa ulimi unagusa kaakaa la juu la kinywa