Lugha Rasmi Bungeni: Wabunge watumie Kiswahili au Kiingereza

hakika hii hoja ndio naitaka sana..

Kuna mtu hapo juu kazungumzia Unafiki wa Mtanzania nadhani unafiki wetu ni kufikiria kwamba pasipo kiingereza hatuwezi kufanikiwa..

Kitu kimoja kikubwa sana Watanzania tunachanganya, Kiimngereza kama Lugha na Kiingereza kama elimu kwani hata kiswahili sisi sote tunakizungumza kiswahili lakini tupo wengi tu tuliokuwa tukipata D na F tunapofikia elimu. wapo waswahili wasiojua kusoma wala kuandika lakini wanazungumza lugha fasaha kabisa..

Elimu Ya Tanzania inakosewa sana kufundishwa hasa ktk Lugha.. sababu kubwa ya kufanya Kiswahili kiwe lugha ya kufundishia toka darasa la kwanza hadi la tano ni kutokana na watoto wetu kuwa fluent na Kiswahili hivyo ni rahisi kwao kujifunza kusoma na kuandika.. Na pia hakuna hatari yoyote ya kielimu mtoto akijua mbili jumlisha mbili ni nne, tofauti na yule anayejua two plus two equals four..

Na mtoto akifika darasa la tano matumaini yetu ni kwamba mtoto huyo kisha master lugha ya ku communicate kwa lugha ya kiingereza.. sasa kinachotakiwa kufundishwa watoto wetu ktk miaka hiyo hiyo ya kwanza hadi tano ni LUGHA ya kiingereza yaani wajifunze kuongea kiingereza..Ufundishaji wa lugha yoyote ile ni tofauti kabisa na ufindishaji wa elimu kwa lugha hiyo hiyo. na mara nyingi nimeona watoto wetu wanafundishwa elimu ya kusoma na kuandika kiingereza badala ya kufundishwa lugha hivyo wengi wao wanaweza kuandika vizuri kwa kiingereza lakini hawajui kuzungumza lugha hiyo hiyo, tena kibaya zaidi wengine wamehitimu hadi chuo kikuu..

Makosa makubwa yapo ktk Ufundishaji wetu..hata hao China na mataifa mengine wanayozungumzia watu wengi hao wenzetu wanajifunza lugha ya kiingereza na sii elimu kwa njia ya kiingereza kama tunavyofanya sisi..

Kiswahili ni lugha yetu tunahitaji sana kukienzi na kufahamu kwamba kuzungumza lugha ya kigeni haina maana kabisa ni kipimo cha elimu ya mhusika na mtu anaweza kabisa kujifunza lugha zaidi ya moja, mbili au nne pasipo kuwa na elimu ya darasani.. hivyo ni muhimu tutambue tofauti hizi laa sivyo tutaendelea kubebeshwa Utumwa wa kifikra..
 
MKANDARA acheni kuchakachua, hoja hapa SIO LUGHA RASMI BUNGENI, hoja japa ni mbunge kushindwa kujieleza kwa kimombo period!
 
Kama hajiu Ki-Ingereza basi HAFAI!! PERIOD. Na asiende, maana ataishia kupiga usingizi tu. Hafai, naona pia hata ile grab ya matukio ya kimataifa pia hana. JAMEEEEENIIIII, HAFFFAAAAAAI!!!

Ha...ha..haaaa..........
 
Monopoly=ukiritimba
bureaucracy=umangimeza

Hizo red nina uhakika nazo uliza popote au lete tafsili tofauti kama unazo, ndio maana nikauliza ni maneno mangapi kati ya hayo yanatumika leo hii?

na usuli = background
hadidu za rejea = terms of reference

usijali lakini
 
Jamani tuwe wakweli, na lazima ukweli tuuseme: Mh Luhaga Mpina - Mbunge wa Kisesa ametutia aibu, sina uhakika kama alichaguliwa kwenye hiyo nafasi, lakini akipita kuwalilisha waTZ kwenye bunge la Africa kweli ni aibu. Kama kanuni zinasema lugha ni Kiingereza kwa nini tusichukue wabunge wenye uwezo wa kuongea english kwa ufasaha, nadhani Luhaga amekosa kigezo hicho cha lugha.
 
Back
Top Bottom