Lugha Rasmi Bungeni: Wabunge watumie Kiswahili au Kiingereza

Dah dah! Ustake ncheke miye... Kwanini kung'ang'ania lugha za watu?
 
Kama ni issue ya PAN sawa.....Lakini sidhani kama ni fahari kuijua hiyo lugha...
 
Nimeona michango mingi humu ndani ya Jf juu ya Wabunge kupata shida na Lugha hii ya Mkoloni.Mh. Luhaga Mpina kawa mfano kwa kuvunja ndani ya Bunge.Nawambieni jamani japo si dhambi ama ujinga kutokujua kingereza lakini kuna Wabunge wengi humo ni balaa.Huyo ngosha kajitoa muanga kuwakilisha wenzie wengi nashauri apewe "big up".Sihitaji kuwataja kwa majina ila kuepuka unafiki mpate Vicent Nyerere (MP-Musoma Mjini) huyo wa kisesa (Mpina) ni cha "mdori".

Mh.Mpina lakini ni msomaji Novel za kingereza mzuri sasa huwa anasoma na kuelewa nini kama lugha ni tete?,au hiyo PAP haikuwa rizki kwake.

Huyu jamaa ni wa jimbo gani....?
 
unakuta mbunge ana dish/DSTV kwake lakini anaishia kwaangalia akina Kanumba hivyo kushindwa kujua hata kile kinachoendelea Ivory Coast na kwingineko.

hahahahaah..Mkuu hii nimeikubali...JF bwana ina watu wanafikiria sana.

Thanks for making my evening mkuu!
 
haya ndiyo matokeo a kukimbilia kubeba dhamana ya uongozi bila kukamilika
 
Ktk uwakilishi huo naona kuna umuim wa kujua lugha inayo2mika kuwacliana,asingegombea nafac iyo, au alilazimishwa na chama chake? Angalizo: kutojua kiingereza c dhambi. tjadmdajmdawtmdajtw
 
Sio kosa lake ni mfumo wa taifa zima.
kuna wanafunzi wanamaliza 4m 4hawajui hata kutamka ''the'', wengine hutamka 'ze' na wengine hutamka ''dhe''. Ingekua aibu kama angekuwa huko mbele lakini kusema asingegombea ni kusigina haki yake, lililokuepo tu nikutompa kura za kutosha.
Ndo maana wakubwa wanapeleka watoto wao english medium school kujua kienglish
 
Kama kweli hii matata kabisa. Lakini Msukuma huyo sishangai

Pambafu kwani Wasukuma tuna nini? Nakuomba ututake radhi nya***fu wewe. Kama Chinga na wewe uko kwenye kumpigia debe huyo Chinga mwenzio msitegemee! Mafisadi wakubwa nyie.
 
Huyo mbunge ni muingereza?........ Jibu ni la .....

Bunge alilokuwa anaongea ni la uingereza......Jibu ni la.....

Kama ni hivyo basi.....AIBU NI YA KITU GANI........
HUO NI UKOLONI WA AKILI......MBONA WENYEWE WAINGEREZA HAWAJUI KISWAHILI NA WALA THEY DONT FEEL SORRY......

KUMBE MWALIMU NYERERE ALISEMA KWELI........ALIPOSEMA KUJUA LUGHA YA BWANA MKUBWA NI FAHARI........
ONA SASA YANAYO TOKEA...........

KUHUSU BUNGE LA PAN AFRIKA INABIDI KISWAHILI KITUMIKE PIA.....

Ukoloni gani hapo? Usimtetee KI-Chama. I mean Ki-CCM.

Kama unatuomba tukutume kwenda kutuwakilisha kwenye vikao huko Bukoba, ukifahamu lugha inayotumiwa ktk hivyo vikao ni kihaya, ukaulizwa maswali kwa kihaya ukashindwa. Basi wewe *****! Kwa nini utamani kuwasiliana na watu usiojua lugha yao?

Halafu unaanza kutamani kutumia Kiswahili. Umeambiwa ndiyo yanayotokea huko!


 
Inawezekana kuna point, lakini kuna wakalimani ambao kazi yao ni kuondoa kikwazo cha lugha, na uwakilishi hautakiwi kuwekewa vikwazo vya lugha. Kinachotakiwa ni uwezo wa uwakilishi. Ukiangalia bungei kwetu kuna wabunge wengine kazi yao ni kuhudhuria tu na si kuwakilisha. So what matters most ni uwezo wa uwakilishi na kuondoa vikwazo vya lugha. Si kuongea kiingereza.

It is absolutely stupid to think that inability to express in English is a tragedy and shame, unless you there is something wrong in your head. We have so many people in Tanzania who are very fluent in English and speak like someone in oxford, but what they utter is absolutely crap. Kuna vijana wa clouds walikuwa wanaongea vizuri sana kiingereza lakini walikwenda chuo Kikuu mlimani wali-disco uwezo wao ulikuwa kuongea kiingereza tu, lakini kichwani hakuna kitu.We have plenty people who can not even express themselves well in Kiswahili, but they are are full of intellect and wisdom, hata ukisikiliza sentensi moja tu wanaongea utajua kuwa ni mtu mwenye akili timamu anaongea.

Try to listen Medvedev speak English or Hugo Chavez for that matter, unaweza kuona hata huyo mbunge yuko better. I may be wrong, lakini sioni kama kujua au kutojua kiingereza ni aibu.

best usifananishe Russia na tz. Sisi hata wembe ni ishu kutengeneza sababu mfumo wetu hovyo wa elimu. Lazima tujue kingereza sababu tangu primary tunajifunza kingereza. Huyo mbunge kilaza hata uenyekiti wa kitengoji haumfai anawakilisha nini hata swali kuelewa ishu. Tuache akili mgando
 
Kiswahili ni moja ya lugha zinazotumika AU, hivyo atatumia kiswahili. Kiingereza ni lugha tu kama lugha nyingine, hata hivyo yeye akiwa kama mbunge ina faida kubwa kwake kujua lugha nyingine zaidi za kimataifa kama english au kifaransa au zote, na uwezo huo anao kwa kuwa pesa ya kumlipa mwalimu wa kiingereza akamfundisha anayo.
 
Kiswahili ni moja ya lugha zinazotumika AU, hivyo atatumia kiswahili. Kiingereza ni lugha tu kama lugha nyingine, hata hivyo yeye akiwa kama mbunge ina faida kubwa kwake kujua lugha nyingine zaidi za kimataifa kama english au kifaransa au zote, na uwezo huo anao kwa kuwa pesa ya kumlipa mwalimu wa kiingereza akamfundisha anayo.

shame to him, hata kama kiswahili kinatumika AU
 

Huyu jamaa ni wa jimbo gani....?

Ni Mbunge wa Jimbo moja kule Shinyanga sasa hivi Simiyu linaitwa Kisesa. Liko wilaya ya Meatu. Kwa taarifa yako ni mhitimu wa Mzumbe (Advanced Diploma in Materials Management), wakati huo chuo kikiitwa IDM. Ingawa yeye wapiga kura wake huwa anawadanganya eti ana shahada ya uhasibu.
 
Jamaa amejidhalilisha si kwa sab ya kutojua lugha ila kwa sab anaomba kazi ambayo hana uwezo nayo yaani asingeweza kutuwakilisha vizuri
 
Tuache porojo bwana! Kwa nini tupeleke watu wasiojua kiingereza wakati wapo wanaojua kwa ufasaha!! Tuache kufanya mambo ya kienyeji hapa. Hao wakalimani watakuwepo hata kwenye maongezi yasiyo rasmi!!
 
Huu bado ni utumwa kwanini ulazimishe watu kuongea Kiingereza?, wabunge wetu simameni imara na lugha yetu ya taifa kiswahili kwani ni lugha ya kimataifa tusikubali kudhalilishwa.

kiswahili lugha ya kimataifa wapi????
 
Back
Top Bottom