Lugha Rasmi Bungeni: Wabunge watumie Kiswahili au Kiingereza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lugha Rasmi Bungeni: Wabunge watumie Kiswahili au Kiingereza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Uswe, Apr 13, 2011.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Leo Bunge Linachagua watu watakaoliwakilisha Bunge katika Pan African Parliament, Kulikua na mvutano mkubwa kuhusu kanuni ya uchaguzi na lugha itakayotumika katika kujieleza na kuomba kura, hatimaye ikaonekana kanuni inalazimisha mgombea kutumia kingereza katika kujieleza, kujibu maswali na kuomba kura.


  Wengi wameenda poa ingawa kulikua kuna kujikanyagakanyaga kidogo kwa baadhi ya wabunge lakini LUHAGA MPINA ye aliharibu kabisa - AIBU!

  Kila mtu alikua anaulizwa maswali matatu, swali moja aliulizwa
  Swali:What is your personal opinion on issues happening in Ivory cost, and if elected, as a member of PAN what will you do to stop what have happened in IC to repeat in another African country?
  Jibu:Watara is president

  jamaa akapigwa swali tena
  Swali:UN council voted for resolution 1973 calling for no flying zone, do you think the no flying zone was correctly executed?
  Jibu: I don't understand, did you repeat? (hapa alitaka kusema can you repeat plz?)

  hapa spika akaomba swali lirudiwe na liliporudiwa mambo yakawa hivi
  Jibu:I don't understand may be because you are not 'STLET' hapa alikusudia kusema 'straight' but if you ask me about Libya I say what foreign countries is doing is not fairly at all

  Jamani Bunge tamu!
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Lakini kwanini wawalazimishe lugha wasiyo ijua?
  Hukuni kuwaumbua wabunge wetu na nikuengua watu kiaina ktk kinyang`anyilo
   
 3. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  naomba Mungu uwe unatani! Kama hali yenyewe ni hii, basi kazi tunayo.
   
 4. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,933
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Huyo mbunge ni muingereza?........ Jibu ni la .....

  Bunge alilokuwa anaongea ni la uingereza......Jibu ni la.....

  Kama ni hivyo basi.....AIBU NI YA KITU GANI........
  HUO NI UKOLONI WA AKILI......MBONA WENYEWE WAINGEREZA HAWAJUI KISWAHILI NA WALA THEY DONT FEEL SORRY......

  KUMBE MWALIMU NYERERE ALISEMA KWELI........ALIPOSEMA KUJUA LUGHA YA BWANA MKUBWA NI FAHARI........
  ONA SASA YANAYO TOKEA...........

  KUHUSU BUNGE LA PAN AFRIKA INABIDI KISWAHILI KITUMIKE PIA.....
   
 5. U

  Uswe JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sitanii Ndugu yangu, hii kweli na ilikuwa inarushwa Live TBC1
   
 6. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,442
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli na si utani....lmao!

  Angekosea lugha na kupatia jibu angekuwa excused, lakini kukosea lugha na jibu inaonyesha ni kiasi gai yuko out of touch na current international affairs.
   
 7. It is Sur_Plus

  It is Sur_Plus Senior Member

  #7
  Apr 13, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah kumbe wengi tuliipataile. Dah yan ni aibu coz nilikua barazani na masela tulicheka sana
   
 8. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kaka huyu mtu anagombea kutuwakilisha kwenye bunge la pan africa!na huko lugha ni english na si kiswahili,kma hawezi kuwasiliana kwa hiyo lugha kwann agombee kwenda huko kma si kutaka pesa tu,kama hajui lugha akae hapo dodoma tu! Kuna watakao sema kuna wakalimani me nasema kwann tumchague mtu anayehitaji mkalimani wakati kuna wanaoweza lugha kwa ufasaha bila wakalimani?TZ hopeless kbs
   
 9. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kama kweli hii matata kabisa. Lakini Msukuma huyo sishangai
   
 10. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mkuu ni bora kuumbuliwa akiwa nyumbani kuliko kuumbuliwa akiwa PAN African na kuitukanisha nchi kuwa hawa ndiyo best tulioona wakatuwakilishe. Ni muda mrefu sana watu wamekuwa wakiingia katika kugombania nafasi ambazo hawana uwezo wa kuzitumikia bali wao focus yao ni hela tu. Kwenye hili ninaunga mkono kabisa kufanya yaliyofanyika ili liwe funzo kuwa kama sehemu mtu huna utaalam nayo si lazima uwepo hata kama wewe utapendelewa kuwepo.
   
 11. U

  Uswe JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwa Taarifa:
  Kiswahili ni Moja kati ya Lugha Rasmi katika PAP (Pan African Parliament)

  Wabunge wanalijua hilo, na kabla uchaguzi haujaanza kulikua na mvutano wa Lugha gani itumike katika huo mchakato wao wa uchaguzi na hoja ya kwamba Kiswahili ni moja kati ya lugha rasmi ilitolewa.

  Lakini kanuni za bunge zimesema categorically kwamba kingereza ndio lugha itakayotuma katika mchakato wa kuchagua wawakilishi wa kwenda PAP, pia katika bunge la afica kuna formal na informal discussions, hamna shida katika formal discussions kwani itatolewa tafsiri kwa lugha zote rasmi lakini baada ya hapo, according to waliokuwa wakitetea kwamba kitumike kingereza (akiwemo Membe), mtu kama hajui kingereza ataachwa nyuma, atashindwa kushirikiana na kujadiliana vizuri na wenzake

  Mwisho,
  Si unajua Miswada yetu yote inaendaga bungeni ikiwa haijaandikwa kiswahili, hata ule mswada wa mwisho ule ulozua makelele sana si unajua ulikuwa umeandikwa kwa lugha gani? sasa mtu kama Luhaga atachangiaje katika mswada ule? tena mswada wenyewe ulipelekwa kwa vote of urgency!
   
 12. m

  muchetz JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 496
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Kanuni za bunge zinataka kutumia kiingereza kama unagombea ....
  yeye kama anajua hiyo kanuni na ajua kiingereza hakipandi asinge gombea na kujipatia hiyo aibu!!! LOL
  Kaazi kweli kweli
   
 13. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60  Ndugu hukufatilia bunge, kunakifungu kilisomwa kinacholazimisha mgombea kujieleza kwa kiingereza kwa sababu , anapotarajia kuwakilisha nchi mambo yanaendeshwa kwa ligha hiyo, mi naona sawa tu angalau wajulikane hapahapa kama ni tuition waanze mapema
   
 14. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  kwanini mtu akubali kujibu swali kama hajui anachoulizwa? huku ndio kujidhalilisha kabisa!
   
 15. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  This is personal issue and it does not fall to any tribal character. Why are you rushing to tribe? This is totally poor thinking capacity.
  it
   
 16. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Inawezekana kuna point, lakini kuna wakalimani ambao kazi yao ni kuondoa kikwazo cha lugha, na uwakilishi hautakiwi kuwekewa vikwazo vya lugha. Kinachotakiwa ni uwezo wa uwakilishi. Ukiangalia bungei kwetu kuna wabunge wengine kazi yao ni kuhudhuria tu na si kuwakilisha. So what matters most ni uwezo wa uwakilishi na kuondoa vikwazo vya lugha. Si kuongea kiingereza.

  It is absolutely stupid to think that inability to express in English is a tragedy and shame, unless you there is something wrong in your head. We have so many people in Tanzania who are very fluent in English and speak like someone in oxford, but what they utter is absolutely crap. Kuna vijana wa clouds walikuwa wanaongea vizuri sana kiingereza lakini walikwenda chuo Kikuu mlimani wali-disco uwezo wao ulikuwa kuongea kiingereza tu, lakini kichwani hakuna kitu.We have plenty people who can not even express themselves well in Kiswahili, but they are are full of intellect and wisdom, hata ukisikiliza sentensi moja tu wanaongea utajua kuwa ni mtu mwenye akili timamu anaongea.

  Try to listen Medvedev speak English or Hugo Chavez for that matter, unaweza kuona hata huyo mbunge yuko better. I may be wrong, lakini sioni kama kujua au kutojua kiingereza ni aibu.
   
 17. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  lol..pompous gullibles
   
 18. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na wewe bwana haya umeyatoa wapi mbona jammaa anamwaga kingereza safi tu ila kwa rafuzi ya kinyantuzu?
  ila ujue mayai magumu bwana!
   
 19. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Jamani mimi Maimuna!! Wako wengi hao. Uganda lazima Mbunge awe amemaliza Form Six or equivalent.
   
 20. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Tuache haya mawazo mgando.. huyu jamaa anaomba kwenda kutuwakilisha kwenye PAN huko wanatumia kiingereza sio kiswahili sasa ataelewa vipi kinachojadiliwa humo na atatoaje utetezi wetu sisi watanzania tuliomtuma kama lugha haipandi??? Mbali ya kuwa kanuni za bunge kuhusu uchaguzi wa kwenda huko kutamka kuwa watumie hiyo lugha!!:disapointed:
   
Loading...