Lugha ipo sawa?

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
2012-11-15 15.23.04.jpg
Mwenye kujua atujuze Nyamaza kimya au Nyamasa kimya
 
Hata ukisema "Nyamaza kimya" bado sio Kiswahili sanifu kwakuwa umerudia maneno mawili yenye maana ile ile bila ulazima wowote. Mfano mwingine ni pale tunavyochemsha Kiingereza mara kwa mara utamsikia ticha anawaambia pupils "repeat again".
Ukisema Nyamaza maana yake Kimya
Ukisema Repeat maana yake Again!
 
Wanaweza kuwa na maana yao, maana hiyo gari naona ni ya Zenji.
 
Hata ukisema "Nyamaza kimya" bado sio Kiswahili sanifu kwakuwa umerudia maneno mawili yenye maana ile ile bila ulazima wowote. Mfano mwingine ni pale tunavyochemsha Kiingereza mara kwa mara utamsikia ticha anawaambia pupils "repeat again".
Ukisema Nyamaza maana yake Kimya
Ukisema Repeat maana yake Again!

Nimependa hii Mkuu asante kwa kudadavua.
 
nyamasa namjua na tumesoma nae kitopeni skuli,baba yake alikuwa anaitwa kimya na ukoo wao nisikusikie
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom