Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,730
- 155,414
Must have meant Judgement Day..
Ferry kwa mateja, na mwananyamala kwa matejaItakuwa imeandikwa na "mteja" hiyo. Gari yenyewe ya Mwananyamala - Kivukoni (Ferry).
haya mambo tunayachukulia kiutani zaidi lakini ndio kipimo cha uelewa watu tulio wengi! Sasa niambie habari zinazotokea duniani mara nyingi zinatufikia kupitia vyombo vya habari vya kimataifa ambavyo vinatumia lugha hiyo inayotushinda.
Sasa mpaka mtu aje kuelewa inabidi asubiri ITV/TBC/DTV nk wafanye tafsiri ambapo nao tatizo lao ni hilo hilo!
hapo ndipo ujue tuko mbali kiasi gani na kile kitu kinaitwa 'maendeleo"
:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:
Iko moja imeandikwa BUNDA SILIGA sijui ni kijita?......au ndio ile ligi ya Ujerumani?
Bunda siliga ni ligi ya ujeruman kama ilivyo la liga, ligi ya vodacom n.k.watu wanaipenda sababu haina kulemba. hata ukikwatuliwa ukaanguka marefa wanapeta ni mpira wa kukwatuana sana. yaani nguvu nguvu na mashuti ya kufa mtu. ndo maana ikapata umaarufu. Sisi wabongo twapenda ligi ya uingeleza. mia