Lugha gongana: Katibu Mkuu asema ruksa wabunge wa CCM kuikosoa Serikali

Hahhahaaaaaaaaa,mbunge aliyekuwa mstari wa mbele kutetea serikali kazawadiwa unaibu waziri,teh teh
 
Lugha gongana:

Katibu mkuu: Ruksa wabunge wa CCM kukosoa Serikali

Mwenyekiti: Nilikuwa nafuatilia wabunge wanaokosoa na tungefukuza wote 17.

Vyama viwili ndani ya kimoja.

My take:

Hapo katibu atafanyeje?

Hiyo kauli ya Katibu mkuu aliitoa lini?
 
ccm wanakuwa na nafasi ya kukosoana kwenye vikao vya ndani, lakini wakianza kujijengea ubinafsi kwa kujifanya wanakosoa mbele za camera ili waonekane wapo vizuri ....basi watapata tabu sana!!. Km wanamwogopa wakiwa naye mezani basi wakae kimya hata huko nje, hahahaha!!. wabunge wa ccm ni mojawapo ya sehemu ya mhimili wa serikali (moja kwa moja). So wajipambanue na mambo yao, wasifanye ubinafsi....jamaa atawapatisha shida thana wakijitoa ufahamu
 
hiki chama kinapitia wakati mgumu sana ni suala la muda tu.
 
Kwani CCM kuna katibu wa chama au katibu wa mwenyekiti?
Katibu wa Chama alikuwa Kinana wa JK ila huyu wa sasa ni wa Mwenyekiti wa Chama chetu.
 
Rais Magufuli ATAPATA TAABU SANA maana amezungukwa na mafisi,!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom