Hbr wadau naomba maana ya maneno/misemo hii.
1. Ameenda nchi za nje. ( kwani nchi za ndani ni zipi)
2.Ameenda ng'ambo.( kenya nayo ni ng'ambo? Au ni ulaya tu
3.Ameenda Ughaibuni.( ndo wap? Ufaransa pia ni ughaibuni.
4.Ameenda Mamtoni ( hata Nigeria ni mamtoni?)
5. Jamaa yuko nje wiki ya pili sasa( Nje inamaanisha hasa ni nchi zipi)