Lugalo Military medical school

Aiseeeh,
Mleta mada u mgonvi yaani unaweza ukajitoa mhanga humu JF!!

Maana ukijibiwa usichopenda kusikia unatamani kurukia mtu!?

Kwa tabia hiyo wewe na mwanao/binti yako pale Lugalo tayari hapakufai maana siku mwanao akifail utaleta timbwili kisha jeshini watakunyosha bila vifaa vya kunyoshea wagonjwa!!

Nitarudi tena ... ... ...
YOU MUST BE HOPELESS!
 
  • Thanks
Reactions: apk
Naomba kuuliza: Hiyo shule hapo juu inapokea wanajeshi watarajiwa au ni wanafunzi wa aina yote/wote.
Je ukiwa pale military courses/classes/kwata etc zinakuhusu kama wewe umetoka shule za kawaida?
Uliwahi kufika Tarime ? Kile kibao kinasemaje ?
 
Sijakuelewa, lugha yako ngumu, ngoja nitamuuliza mama yako anieleweshe, inaye hapa!
Mbona uliminywa korodani ulinizaa VP au ndio kitanda hakizai haramu. Ungekua my biological father nishajiua. Kwa kua ni baba wa kusingiziwa basi. Hata hao w3ngine uliosingiziwa nashauri ufanye DNA.amasivyo unalimia nyani.
 
Hiyo ni siri yangu na mama yako. Siri kubwa , haya mambo hayasemwi mtoto. kwaheri
 
Hello wana jf. Napenda kuulizia hivi chuo cha lugalo kinapata udhamin wa global fund? Na pia wanachuo wanajitegemea kwa chakula au chakula kinatolewa na chuo.
Asante
 
Naomba kuuliza: Hiyo shule hapo juu inapokea wanajeshi watarajiwa au ni wanafunzi wa aina yote/wote.
Je ukiwa pale military courses/classes/kwata etc zinakuhusu kama wewe umetoka shule za kawaida?
Swali limekaa kichochezi vipi mbona mi naona limekaa vizuri? hata hivyo kilingana na ulivyomjibu nadhani tayari amepata majibu maana umejibu kijeshi kwa hiyo lazima ulipiga kwata na ulipigwa sana mitama.
 
You must be crazy, how seditious is it? I want to know if military training is part of the medical curriculum. I d not want my child to undergo military training being a daughter!
Military training your son or daughter can ever get. You feel life in the bunkers.....just kidding

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom