Ludovick Utoh: Spika Ndugai kumwita CAG Assad ni jambo jipya, halijawai kutokea toka nchi kupata uhuru

Watu tunapaswa kuelewa kuwa kinachogomba hapo siyo taarifa ya ukaguzi, bali ni kauli ya kusema 'bunge ni dhaifu'. Hivyo ni vitu viwili tofauti.
Wapi na lini CAG ametoa kauli ya ( amesema) "bunge ni dhaifu"?

Ni watu tu wanamlisha maneno CAG. CAG amezungumzia udhaifu wa bunge, hakusema kwamba bunge ni dhaifu. Hivi ni vitu viwili tofauti.

Jiridhishe kwa kumsikiliza kwa makini kupitia link hii.
Ludovick Utoh: Spika Ndugai kumwita CAG Assad ni jambo jipya, halijawai kutokea toka nchi kupata uhuru - JamiiForums
 
Fake news, Uto hajaongea hayo, chadema mnajifanya mko na Asad na Zito lkn msichokijua Asad hawezi kuwa na makafir hata siku moja, hivyo mnatetea msichokijua, mimi nimekulia na Uislamu na naelewa ninachokisema.
Kafir Bibi Yako Choko ww, mambo ya Uislam Yananingiaje hapa?umesd.a Prof.Assad hawezi Kuwa Upande mmoja na Makafir Je Huo Upande wa PIMBI NDUGAI ndio Hamna Makafir??
Tumia kichwa chako Kufikiria Na Sio Kubebea Masiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani ame
Huyo Bwana naye asituchanganye hapa.Kila jambo lina mahali pake pa kuanzia.Hata makusanyo ya kodi ya sasa ya kodi hayajawahi kufikiwa tangu tupate uhuru.Kwa hiyo tuache kukusanya kwa sababu huko nyuma hatujakusanya ? Kwenye mahesabu kuna kitu kinaitwa MAXIMA na MINIMA.Unaweza ukawa na akili saana halafu zikifikia MAXIMA graph inageuka inarudi chini kuelekea MINIMA.
kudanganya,serikali imefilisika acha upumbavu
 
Sasa Ukaguzi na Uislamu wapi na wapi ... Daaah umefika juzuu ya ngapi maana mkiambiwa waislamu mnatatizo pahala mnakuwa wabishi... Sasa nataka kuamini kweli FaizaFoxy pia yupo kwenye kumtetea Assad kwa angle ya Uislamu . mwanzo sikutaka kuamini lakini kwa kauli yako waislamu wabaguzi sana

NA WEWE NAWE UNATOLEWA KWENYE MADA KIRAHISI HIVI?! UNAVOONA HUYO ZEZETA ANAJUA LOLOTE KUHUSU UISLAM?
 
nimependa tu hapo utoh aliposema kwamba sifahamu kama sheria na kanuni zinaweza kun over rule katiba. kwa statement hiyo inaonesha kwamba wakaguzi ni watu makini sana hasa kwenye kunena .
Absolutely, hadi mtu ateuliwe kuwa CAG hawezi kua mtu mwenye akili iliyofubaa na ndio maana wanaongea kwa umakini sana. Yaani Prof. Assad angefunguliwa kesi mahakamani atamshinda Ndugai asubuhi na mapema kabisa.
 
Hili swala haliitaji Rocket Science kulitatua, Spika ajitafakari upya kwa namna nyingine
 
Fake news, Uto hajaongea hayo, chadema mnajifanya mko na Asad na Zito lkn msichokijua Asad hawezi kuwa na makafir hata siku moja, hivyo mnatetea msichokijua, mimi nimekulia na Uislamu na naelewa ninachokisema.
Hakuna muislamu wenye akili finyu kama zako.
 

Attachments

  • Katiba_ya_Tanzania.pdf
    248.9 KB · Views: 11
Tunaye spika mpumbavu anayeongoza wale yeye anaowaita "wasomi"!japo wasomi hao hawatekelezi wajibu wao ipasavyo.
Ndugai ajitokeze hadharani atuambie neno"usomi"kwake linamaanisha nini.
"Ulimswano NDUGAI"ni kweli Job Ndugai amepona?
ugonjwa huingia mwilini kirahisi lakini kutoka ni vigumu.
Hahaaaa...huu ndo ukweli
IMG-20190109-WA0017.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom