Ludovick alikuwemo kwenye gari la Viongozi wa ACT lililopata ajali Pandambili

Status
Not open for further replies.
Cdm na udin,ukabila na ukanda ni hatari zaid ya maafa ya mafuriko ya kila mwaka dar.

WIVU MTUPU tena WIVU WA KIJINGA!! Tatizo lako BOMBAY ni wivu wa mafanikio ya wachaga. Wakati wachaga wanazidi kujiimarisha kielimu, kisiasa na kiuchumi, nyinyi kazi yenu ni kubweteka na wivu na kupenda maisha bora bila jasho. Jiulize ni kwa nini mkoa wako ni masikini na nyuma kielimu. Ni kwa sababu ya kuwa na wivu usio na faida. Wachaga wamepiga hatua kubwa sana ktk nyanja nyingi za kisiasa, uchumi na kijamii hasa elimu. Jiulize ni kabila gani ktk nchi lina wenyeviti wa vyama vya siasa kama wachaga. Hii yote ni elimu na kujitambua kunakotokana na nguvu ya kiuchumi, kisiasa na elimu. Kisaikologia wewe kama bado unaishi enzi za ujima, yaani ule wakati wa kuamini zaidi uchawi badala ya sayansi. Kwa taarifa yako BOMBAY mimi sio mchaga lkn nawakubali sana watu wa Kaskazini hasa wachaga. Watz wengi kama BOMBAY wasiokubali ukweli wamebaki kuwaonea wivu wachaga kwa mafanikio yao badala ya kujifunza kutoka kwao ili kuyapata maendeleo kama ya wachaga. Wakati watu wanawalaumu wachaga kwa mafanikio yao wao wanazidi kujiimarisha zaidi na zaidi kwa kila nyanja. Tukipata makabila matano ktk nchi hii yenye mwamko wa kiasa kama wachaga, taifa hili litapiga hatua kubwa sana kimaendeleo. Tafakari.
 
Pumbavu zake Ludo, ungeenda tu watu tuimbe "Simbalii karibuu tutafika na sisi hukoo"

tukimaliza huo tunaimba.... jamani parapanda, parapanda Italia parapanda, nae ludovick atakua amekwisha nyakuliwa......ooogh atakwenda
 
Last edited by a moderator:
Ludo na wasaliti wenzio hamtafika popote. Mtakufa kisiasa na kimwili. Usichezee shida na mateso ya watanzania wengi ambao ccm imewatelekeza huku wakubwa wakineemeka kwa rasilimali za Taifa.
 
kweli kabisa ni wakati wa sisi vijana kutoka nakwenda njee, kwanini vinana wenzetu wanajiunga na wazee wetu ambao ni wasaliti kwa faida ya matumbo yao na faida ya mafisadi huku wakiotesha miba kwenye njia ya kizazi kijacho .............................we need real to fight na kuwaaibisha

mzee wako yupi
 
labda baba yako
 
WIVU MTUPU tena WIVU WA KIJINGA!! Tatizo lako BOMBAY ni wivu wa mafanikio ya wachaga. Wakati wachaga wanazidi kujiimarisha kielimu, kisiasa na kiuchumi, nyinyi kazi yenu ni kubweteka na wivu na kupenda maisha bora bila jasho. Jiulize ni kwa nini mkoa wako ni masikini na nyuma kielimu. Ni kwa sababu ya kuwa na wivu usio na faida. Wachaga wamepiga hatua kubwa sana ktk nyanja nyingi za kisiasa, uchumi na kijamii hasa elimu. Jiulize ni kabila gani ktk nchi lina wenyeviti wa vyama vya siasa kama wachaga. Hii yote ni elimu na kujitambua kunakotokana na nguvu ya kiuchumi, kisiasa na elimu. Kisaikologia wewe kama bado unaishi enzi za ujima, yaani ule wakati wa kuamini zaidi uchawi badala ya sayansi. Kwa taarifa yako BOMBAY mimi sio mchaga lkn nawakubali sana watu wa Kaskazini hasa wachaga. Watz wengi kama BOMBAY wasiokubali ukweli wamebaki kuwaonea wivu wachaga kwa mafanikio yao badala ya kujifunza kutoka kwao ili kuyapata maendeleo kama ya wachaga. Wakati watu wanawalaumu wachaga kwa mafanikio yao wao wanazidi kujiimarisha zaidi na zaidi kwa kila nyanja. Tukipata makabila matano ktk nchi hii yenye mwamko wa kiasa kama wachaga, taifa hili litapiga hatua kubwa sana kimaendeleo. Tafakari.

utajiri wa kafara .myGod grece mbowe
 
Duh! Hivi huyu si ndie alikipa chama mAsaa 24 wamrudishe Zitto kama si hivyo atarudisha kadi na nakumbuka aliweka hapa uzi wa kurudisha Kadi. Leo anakana hajawahi kuwa huko ?
Humu JF hakuna kinachopotea.

Mimi sijawahi kuwa na kadi ya chadema hata siku moja na sitokuja kuwa nayo.

Then hilo bandiko unalosema mimi nililiweka kuwaambia chadema eti wamrudishe zitto wasipofanya hivyo narudisha kadi its a bullshit and nonsense.

Mimi ni nani ndan ya chama hilo eti nifikie hatua ya kutishia kurudisha kadi??

Na ili iweje??

Who knows me in chadema??

After all The Big Show is not my official verified id sasa nani imsumbue au nani imtishe??

Akili ndogo za mbowe daima zitaongoza akili finyu kama zenu.

Then kuna kipindi ulijifanya eti ya kwamba wewe ni muislam na kuja kufanya counter attack za hoja kwangu vip mbona nowdays umesanda??

Kumbe ni LIJIKAFIRI TU WEWE.

NASKIA KUTWA KUCHWA UNASHINDA KWENYE JUKWAA LA WATU HUKO KUWEKA PICHA ZA UCHI NA NGONO...

DO YOU THINK THATS FUNNY??

YOU MUST BE SO SO CRAIZY.
 
Nipo hapa Kimara Temboni kwa rafiki yangu Tarimo nakunywa supu ya ulimi wa mbuzi nakusoma huku nacheka sana.
 
THE BIG SHOW , Mungu leo amekuanika !

Nawewe kwamba mimi nilishawahi kuwa mwanachama wa chadema au kuweka hilo bandiko eti la kutishia narudisha kadi km zitto asiporudishwa kwenye chama hiko??

Who the hell is zitto to me??

Yaani kuwaambia wachaga wa chadema waache kasumba za ukanda udini na ukabila ndiyo kusema nambeba zitto??

Kwan hilo ndan ya chama hiko ni la siri?

Hata wangwe chacha si mulimuondoa kwa sababu hizo hizo??

Ofcourse tunaweza kusema tunamsupport mtu flan kama tunaona ananyanyasika pasi na sababu.

Mimi binafsi naamin kilichompinza zitto hadi chadema kufikia hatua ya kumchukia ni huko kuonekana kwake kwamba ana chembe chembe za uislam plus kutokuwa kwake mchaga.

I am giving you homework tafuta hilo bandiko kisha uliweke hapa huwez kulipata.

Na kikubwa zaid kitachokuja kuwagharim chadema ni hiki cha unafik wa kukifanya kinapigana na ccm huku ndan yake kikiwa kina ajenda za siri za kuwakandamiza watu wa iman flani.

Ushahid katika hilo upo wazi humu ndani Jf

Wanachadema wanaongoza kuukashifu uislam na waislam.

Hiki kitu tuliwaasa kwamba kitawagharim.

Na bila shaka madhara yake mmeshaanza kuyaona.

Salam rasmi subirin mwakani 2015 insha allah.

Si ni mnajifanya wajeuri??

Tutaona nani ni mjeuri zaidi.
 
Nipo hapa Kimara Temboni kwa rafiki yangu Tarimo nakunywa supu ya ulimi wa mbuzi nakusoma huku nacheka sana.

Unajua Mkuu hawa jamaa zako sijui mahasimu wako hawa wachaga wa chadema wamevurugwa sana.

Hivi kwanin hawa wasitangaze vita na nyinyi mafisadi wa ccm badala yake wanatangaza vita na waislam??

Humu mitandaoni kila siku kejeli na matusi siku zote tunazipata kutoka kwa hawa jamaa.

Na sijamuona hata mwanaccm akijihusisha na matusi na kejeli dhidi yetu sisi waislam ila hawa jamaa wanavuka mipaka.

Then wanataka sisi tukae kimya??

Au wapiga kura wao wengi wanawapata huko makanisani si ndiyo??

Sasa wafikishie salaam zao.

Tutakutana 2015 insha allah na atajulikana mshindi ni nani.
 
Machadema ni viumbe wa ajabu sana! Sasa Ludo yupo ACT kinachowauma ni kitu gani?

Kinachouma ni hii tabia yake ya kutengeneza matukio na muvi fake za ugaidi zinazosababisha maumivu kwa watu wengine na familia zao.Wote tunakumbuka alivyoshiriki muvi ya ugaidi fake,kuteswa kwa Kibanda na hili la ajali ya kutengeneza!
 
lwakatare ndio gaidi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom