Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,615
- Thread starter
- #401
Machadema ni viumbe wa ajabu sana! Sasa Ludo yupo ACT kinachowauma ni kitu gani?
Ludo mwenyewe anasema yupo Chadema wewe mwana CCM unasema yupo ACT. Si unaona mnavyojikanganya?