Ludovick alikuwemo kwenye gari la Viongozi wa ACT lililopata ajali Pandambili

Status
Not open for further replies.
Zitto sio wa kwanza.

Si mlianza na chacha wangwe??

Wachaga mmeshashindwa tayari na wenyewe mnalijua hilo.

Wasaliti wanazidi kuumbuka siku hadi siku! Mtaweweseka sana lakini tambueni Ibilisi hajawahi shinda mbele za Mungu aliye hai.
 
Una ushauri gani kwa Ludovic anayeuza utu wake kwa Tsh 50,000/-

Ludovick ndie nani na me ananihusu nini??

Kama yeye ana hulka za kikaka poa kama huyu mrembo namba 8 za kufuatilia maisha ya watu na kuwangia ushauri wangu ni ule ule tu.

WATAOLEWA TOWN HAPA.
 
Last time i checked jamaa alihongwa 50,000 na Mwigulu kuisaliti CHADEMA kwa mashtaka ya uongo,this time amehongwa Lift na CCM hiyo hiyo indirectly kupitia ACT.Anehongwa kupitia taasisi baada ya Mwigulu kuchanwa live Bungeni kuwa aache kuwa mtu wa ovyo kwa kufanya dili kupitia M-Pesa

uongo upi aliofanya ludo? AT MOST alirekodi video inayomuonyesha mkuu wa usalama wa chadema akipanga mipango ya utekaji wa mwandishi wa habari. Na LAST TIME I CHECKED, wote wawili wanashitakiwa kwa mashitaka hayo hayo kortini.
 
Zitto sio wa kwanza.

Si mlianza na chacha wangwe??

Wachaga mmeshashindwa tayari na wenyewe mnalijua hilo.

Walioshindwa wako mahakamani wakipigania ubunge.
Waliofilisika wanatunga ajali za uongo pale pale pa Chacha Wangwe.

Yote hayo lengo ni kuhakikisha njia ya chooni haioti nyasi.

Wewe nawe sijui tukuiteje naana gesi inatiririka kuja Dar kila unapovuta pumzi
 
Puvu la nini? Hii inaonyesha wazi wewe unahusika kwenye hii issue haiwezekani upanic kiasi hich.ila jua ukiisha kwa upanga utakufa kwa upanga.wala sikutishi iko wazi unayoyafanya one day yatakuback fire tu.kama ambition zako zinakufanya unakosa utu well utafanikiwa but U will never be happy.Mungu hawezi kufanikisha njia ya Mnafiki ila Shetan anaweza fanikisha njia za wanafiki.

Ana ambitions gani huyo zaid ya kutumika??

Mtoto wa kiume kuwa na tabia za kikaka poa ni hasara tupu.

Njaa zinamsumbua.

Angekuwa na ambitions asingekuwa kikaragosi cha wanasiasa.
 
msubili mchage amwuliza uvamie ids usizo zijua dada ww unatafuta mme humu

muda wa kuumbuka umefika, mtakuja na kila staili lakini Mungu kaamua kuwaumbua.Sasa watanzania wanafahamu kuwa hakuna tofauti kati ya act na ccm!
 
Walioshindwa wako mahakamani wakipigania ubunge.
Waliofilisika wanatunga ajali za uongo pale pale pa Chacha Wangwe.

Yote hayo lengo ni kuhakikisha njia ya chooni haioti nyasi.

Wewe nawe sijui tukuiteje naana gesi inatiririka kuja Dar kila unapovuta pumzi

Gesi inapiganiwa kwa maslahi ya kusini na taifa kwa ujumla.

Na sio kwa maslahi ya wachaga.

Wewe ukitakaje.
 
uongo upi aliofanya ludo? AT MOST alirekodi video inayomuonyesha mkuu wa usalama wa chadema akipanga mipango ya utekaji wa mwandishi wa habari. Na LAST TIME I CHECKED, wote wawili wanashitakiwa kwa mashitaka hayo hayo kortini.

Ile video iliyotengenezwa Studio za Issa Michuzi ndio unamsifia nayo Ludovic? Na hii muvi ya ajali ya Pandambili unaisemaje?
 
Usidhani kila mtu anatumika kama wewe!

Sasa watu hata sehemu za kulala hamna??

Kwanin msiwe chakula cha wanasiasa??

Na mtaolewa sana nyinyi.

Na hivyo mnavyopenda vya bure bure na mteremko hadi kuzalishwa mtazalishwa she.nzy type.
 
Kwa wataalamu wa lugha na historia, hivi huu msemo wa "Mungu hamfichi mnafiki" utakuwa ulianza kutumika karne ya ngapi!?
 
Ndio Maana Kila siku mimi nasemaga Kuna watu humu nchini wanaitaji kufundishwa siasa hizi zote nisiasa za maji taka tena bora ta chooni kama siasa anazofanya Mwigamba nisiasa chafu sana, Unganishaji wa siasa za Act na ccm wao wanaona ndio wamemaliza hizo si siasa simameni kama chadema
 
Ana ambitions gani huyo zaid ya kutumika??

Mtoto wa kiume kuwa na tabia za kikaka poa ni hasara tupu.

Njaa zinamsumbua.

Angekuwa na ambitions asingekuwa kikaragosi cha wanasiasa.

Kama hoja zimekushinda tuliza boli soma hoja za wengine. Matusi sio mpango
 
Leta mrejesho wa mapigano yako ya gesi. Na Ludovic anapigana kwa maslahi ya nani? Waha?

Tunasimamia tunayoyapigania.

Hatujakata tamaa na yatapatikana.

Sisi sio wapumbavu tuingie kwenye vita vya kushangilia malumbano ya ccm sijui chadema.

U.---- kama huo mtaufanya mapimbi kama nyinyi msiojielewa na vikaragosi vya wanasiasa.

Sisi mapambano yetu siku zote ni katika kupigania rasimali za nchi hii na usawa ktk jamii.

Na sio kutumikishwa na kuolewa na wanasiasa kama nyinyii.

Kuolewa mtaolewa nyinyi msiojitambua.

Sisi tumeamka kitambo sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom