Ludovic Uttoh: Ukipata Uteuzi wa nafasi yoyote uliyechaguliwa ni wewe, sio wewe na Familia yako

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,492
9,263
1627914927560.png

Nchi nyingi za Kiafrika ukichaguliwa kazi yoyote au hata Rais uliyechaguliwa ni wewe sio wewe na familia yako. Matatizo ya utawala yanakuja mtu anapochukulia kila kitu family affairs lazima utashindwa.

Uteuzi wowote unaopata wa utumishi wa umma fahamu wewe ni mtumishi wa watu na sio vinginevyo sasa watu wengi akipata nafasi anajiona master na ndio inaleta complications.
 
"Nchi nyingi za Kiafrika ukichaguliwa kazi yoyote au hata Rais uliyechaguliwa ni wewe sio wewe na familia yako. Matatizo ya utawala yanakuja mtu anapochukulia kila kitu family affairs lazima utashindwa". - CAG Mstaafu Ludovic Uttoh
We Rizimoko ongea na mshua ongea na mshua
 
"Nchi nyingi za Kiafrika ukichaguliwa kazi yoyote au hata Rais uliyechaguliwa ni wewe sio wewe na familia yako. Matatizo ya utawala yanakuja mtu anapochukulia kila kitu family affairs lazima utashindwa". - CAG Mstaafu Ludovic Uttoh
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Sisi waafrika tunajali mahusiano zaidi kuliko matokeo ya kazi, yani hatupo result oriented. Mtu yupo radhi ampachike ndugu yake kwenye kitengo hata kama anajua wazi huyu ataua watu.
 
Sasa mbona familia zinapewa huduma za usafiri na ulinzi, mbona mama Maria anapewa escorts na vingora juu
 
Nchi nyingi za Kiafrika ukichaguliwa kazi yoyote au hata Rais uliyechaguliwa ni wewe sio wewe na familia yako. Matatizo ya utawala yanakuja mtu anapochukulia kila kitu family affairs lazima utashindwa.

Nchi nyingi za Kiafrika ukichaguliwa kazi yoyote au hata Rais uliyechaguliwa ni wewe sio wewe na familia yako. Matatizo ya utawala yanakuja mtu anapochukulia kila kitu family affairs lazima utashindwa.

Uteuzi wowote unaopata wa utumishi wa umma fahamu wewe ni mtumishi wa watu na sio vinginevyo sasa watu wengi akipata nafasi anajiona master na ndio inaleta complications.
Huyu naye ajikalie tu atulie. Wakati akiwa CAG vikampuni vyake na vya ndugu zake ndivyo vilivyokuwa anavipa kazi zote kubwa kubwa kufanya auditing kwenye mashirika yote ya serikali. Huku vikihusika kubambika makosa ikitokea hujakaa navyo meza moja. Watu wengi wariathiliwa na walifanikiwa kuchomoka pale tu baada ya vyombo vingine kama pccb kuingilia kati.
 
Back
Top Bottom