Ludovic Utoh aunga mkono hoja ya kukagua deni la Taifa

Wakikagua ilo deni hawatalipa?

Hakuna umuhimu wowote kukagua wananchi hawana maji wala umeme wa uhakika . Special Audit ifanyike kwenye umeme kujuwa tatizo nini.
 
Back
Top Bottom