Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Usicheze na reggae ndugu.Nyimbo myinhi za reggae zinabeba ujumbe
Weka Whatsap number nikurushie.kuna moja dube anamuambia mama yake kwamba ndoa yake imekufa
hiyo nyimbo ni nzuri sana nimesahau jina
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bila kusahau ile "Oh my son i'm sorry"...inaweza kukutoa chozi.Kwa karne hii ya 20/21 wimbo huu wa Lucky Dube umefunika.
Mwanangu P akikua na kuniambia anataka kuwa Rastafarian nitamsapoti, hii dini imejaa watu wasio na unafiki.
These people are very clever.
kuna moja dube anamuambia mama yake kwamba ndoa yake imekufa
hiyo nyimbo ni nzuri sana nimesahau jina
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jamaa nyimbo zake waweza kulia ukizisikiliza peke yakoBila kusahau ile "Oh my son i'm sorry"...inaweza kukutoa chozi.
Pamoja mkongwe.Usisahau na Crazy world.
Songi la hatari kubwa kabisaaa
SikizaView attachment 1384932kuna moja dube anamuambia mama yake kwamba ndoa yake imekufa
hiyo nyimbo ni nzuri sana nimesahau jina
Sent from my iPhone using JamiiForums
Not easykuna moja dube anamuambia mama yake kwamba ndoa yake imekufa
hiyo nyimbo ni nzuri sana nimesahau jina
Sent from my iPhone using JamiiForums
Beat zake tu unapiga salutiUsicheze na reggae ndugu.
Rege nzuri sana
Ngoja nikaoge nizisikilize upyaLucky dube na ile nyimbo ya slave na Exile ni nyimbo nzuri mno....
We are the slave until Africa ar free....slave
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Bob Marley ni mkaliSisi wa Bob tuanze? au tusubiri uzi ufike page ya kumi?