Kapyepye Mfyambuzi
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 542
- 918
Habari wakuu?
Husikeni na kichwa Cha habari hapo juu. Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia thread mbalimbali zinazoielezea Lucid dreaming. Zinaelezea ya kwamba lucid dreaming ni kwaajili ya kujifurahisha tu na vilevile unaweza ukajifunza hata baadhi ya mambo kama vile kusoma vitabu, lugha za kigeni, kuendesha gari kama haujui na kadhaa wa kadha. Pia inasemekana hata mtunzi wa filamu ya "The Matrix" alitumia Lucid dreaming kutengeneza hiyo story.
Mfano wa filamu kama hiyo ambazo zilitaka kufanana na maudhui ya lucid dreaming ni X-Men, Fantastic4, Green Lantern, Lucy, Super-Man, Hulk, Avatar, Thor na Aquaman. Amaizing ukiwa ndotoni halafu wewe ndo staring.
Nauliza kwa wataalam wa hizi mambo, Je, unaweza ukamuuliza mtu unayemtaka historian ya maisha yake au ukweli juu ya Jambo fulani, na kama akikujibu humo ndani ya lucid dreaming, hilo jibu ukiamka itakuwa ndio ukweli kiuhalisia kwenye maisha ya kawaida?
Nawasilisha
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app