Lucid Dreaming Inaweza kukupatia majibu ya kweli juu ya like unachohitaji kufahamu?

Kapyepye Mfyambuzi

JF-Expert Member
Jun 18, 2020
258
250
Habari wakuu?

Husikeni na kichwa Cha habari hapo juu. Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia thread mbalimbali zinazoielezea Lucid dreaming. Zinaelezea ya kwamba lucid dreaming ni kwaajili ya kujifurahisha tu na vilevile unaweza ukajifunza hata baadhi ya mambo kama vile kusoma vitabu, lugha za kigeni, kuendesha gari kama haujui na kadhaa wa kadha. Pia inasemekana hata mtunzi wa filamu ya "The Matrix" alitumia Lucid dreaming kutengeneza hiyo story.

Mfano wa filamu kama hiyo ambazo zilitaka kufanana na maudhui ya lucid dreaming ni X-Men, Fantastic4, Green Lantern, Lucy, Super-Man, Hulk, Avatar, Thor na Aquaman. Amaizing ukiwa ndotoni halafu wewe ndo staring.

Nauliza kwa wataalam wa hizi mambo, Je, unaweza ukamuuliza mtu unayemtaka historian ya maisha yake au ukweli juu ya Jambo fulani, na kama akikujibu humo ndani ya lucid dreaming, hilo jibu ukiamka itakuwa ndio ukweli kiuhalisia kwenye maisha ya kawaida?
Nawasilisha

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mbuguni TPC

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
282

YES. Utajua siri na historia yote ya mtu husika.
 
Kapyepye Mfyambuzi

JF-Expert Member
Jun 18, 2020
258
250
What is lucid dreaming? Usiniambie nika-google.
Lucid dreaming ni ile hali yakuwa unalala usingizi huku akili yako iko macho na unaota ndoto huku unajuwa kuwa unaota, unakuwa na uwezo wa kuya-control matukio yote ndotoni jinsi unavyotaka iwe, mfano, unataka uongee na Trump unavuta picha yake anatokea na unaongea nae,,, unatamani kwenda kusoma Chuo kikuu Carifonia unavuta tu image ya Chuo hicho unajikuta upo maeneo hayo na waalimu pamoja na wanafunzi.
 
kawoli

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
5,925
2,000

Ok thanks
 
Kapyepye Mfyambuzi

JF-Expert Member
Jun 18, 2020
258
250
Interested, inakuwaje hii
Wakati unaanza kulala (umejilaza unautafuta usingizi) akili yako inafanya imagenation ya mtu, kitu au sehemu ya eneo amalo unataka uwepo, taratibu usingizi ukikupitia unajikuta upo eneo husika lakini akili yako inakuwa itambua kuwa unaota. Unakuwa na uwezo wa kupaa, na kufanya mambo kuliko kawaida. Lakini ni ndoto tu
 
Elly255

JF-Expert Member
Mar 30, 2017
867
1,000
Hii hali ninayo tangu niko mtoto now ni mtu mzima.
Naweza kuwa naota najua kabisa, wakati mwingine najisema hii ndoto isiishe mapema ni nzuri naamua kuindeleza.
Wakati fulani nikiona ndoto ni mbya pengine nutumbukia kwenye shimo au napigwa risasi naamua kuikatisha hiyo ndoto.
Sikuwahi kuelewa ni kitu gani hiki kuota huku unajua unaota
 
Ticktock dork

JF-Expert Member
Dec 23, 2015
446

Sehemu ya utambuzi ya ubongo inakuwa haijalala ndio maana yanatokea haya
 
Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
6,756
2,000
Lucid dreaming ni ile hali yakuwa unalala usingizi huku akili yako iko macho na unaota ndoto huku unajuwa kuwa unaota, unakuwa na uwezo wa kuya-control matukio yote ndotoni jinsi unavyotaka iwe, mfano, unataka uongee na Trump unavuta picha yake anatokea na unaongea nae,,, unatamani kwenda kusoma Chuo kikuu Carifonia unavuta tu image ya Chuo hicho unajikuta upo maeneo hayo na waalimu pamoja na wanafunzi.
Ukiwa tayari umepiga Cha Arusha?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom