Lubisi kwa watoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lubisi kwa watoto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Masanilo, Feb 22, 2010.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hii imenistaajabisha sana

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=19qYjr2oXMk[/ame]

  Jamaa anadai hii Lubisi ni kama juisi!
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Feb 22, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 12,076
  Likes Received: 4,450
  Trophy Points: 280
  Mkoa gani mkuu?

  wabena Iringa ndio zao,
  wachaga wengi ndio zao

  brain zao safi tu I guess,

  LOL!
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Nadhani Mkoa wa Kagera huu....hivi watoto waopewa pombe kwenye umri huo, huwa wanafanya vizuri kweli madarasani......nina wasi wasi na brain damage !
   
 4. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,087
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  I'm amazed!!....duh!
   
 5. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2010
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,813
  Likes Received: 4,395
  Trophy Points: 280

  Hhahahaha port namna gani wewe? I am a living example. tatizo vijana wa siku hizi wanakulia familia bora-wanakunywa juice na milk shake! Mimi nimeanza kukamata hii kitu hata darasa la kwanza sijaichungulia. Trust me. Tena mimi ndo nilikuwa natumwa kuleta hii kitu na wazee nyumbani! It has been part of me since then-and I cant run away from my heritage. Leo na degree zangu..nikienda village bado naigonga vyema kabisa na wazee pale kilabuni. I rarely took tea. Maana si unajua tena village..sukari mgogoro.

  Mkuu kwamba una wasi wasi na brain za watu kama sisi? duh..tutake radhi mkuu! Kuna ambao wamekunywa chai ya maziwa maisha yao yote na milk shake juu....lakini hata form four hawakuvuka. Sikuwahi kufeli shule kwa sababu ya hii kitu na kama ni mafanikio ya kielimu, well, in my own right and standing I believe have managed. Na hata waliofeli kuna sababu nyingine kibao zaidi ya hii kitu.

  Masanja
   
 6. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hao ni watu wa Kagera lakini ni karibu mikoa mingi sana hasa vijijini watoto wanafanyiwa hivyo jamani
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hii kitu nilikuwa sijui kabisa inawezekana homeboy uko sahihi! Lakini ukianza kuabuse alcohol kwenye umri chini ya mwaka mmoja wakati brain development bado inachukua nafasi kubwa ni hatari sana ingawa sina data nini kitatokea!! ngoja ni google! Hako katoto hapo kanaweza pata addiction awapo mkubwa jamani!

  Nimeona hii
  Effects of Alcohol on Children


  Depression
  The child's system will become depressed, both physically and mentally. The physical depression occurs when the sense of self-control is lost
  Motor Function
  A child will become clumsy and uncoordinated. She may have accidents or slip and fall.
  Brain Damage
  Alcohol can cause damage to the child's brain, making him forgetful or confused
  Visual Impairment
  Perception may be altered, and the child may "see things" or not be able to see correctly.
  Slow Reflexes
  Due to the physical depression of the system, the child's reflexes will slow.
  Nausea
  Alcohol irritates the stomach lining, causing nausea and vomiting.
  Liver Damage
  Long term use of alcohol can cause serious damage to the liver, ranging from hypoglycemia to cirrhosis to liver failure.

  Source: http://www.ehow.com/facts_4826610_physical-effects-alcohol-children.html

  Am breathless kwa kweli....LOL
   
 8. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,776
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Bora hii kuliko gongo!
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Zote zina functional group ya alcohol (R-OH) hakuna cha unafuu hapo, pombe mbaya kwa watoto!

  [​IMG]
   
 10. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2010
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,515
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 160
  Mkuu Masanilo,

  Nimekulia kijijini Bukoba na suala la mtoto kupewa pombe is just normal kule. Lubisi sio kama gongo ambayo inaweza kudamage brain ya mtoto. Lubisi ni kinywaji ambacho ni very passive na ukikuta ile ambayo bado haijakaa siku nyingi ni kama juice tu!!!

  Nilinyweshwa nikiwa mdogo na bado watoto wangu wananyweshwa vile vile na darasani wanaperform kupita kiasi.

  Huyo M-TBC alipewa akaonja ili kujua ukali wake na hiyvo kupima hiyo damage kwenye akili? Lubisi kwa kila mtu!!!

  Lubisi hoyee!!!!!

  Tiba
   
 11. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,776
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Hehhe na Togwa je!
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hii kitu inanistaajabisha sana kwa watoto jamani! My boy will never try that.....babake nimekuwa addicted na pombe baada ya kujaribu nikiwa national service.....sasa katoto kenye miezi michache ni hatari....hebu angalia kwa nyuma wazee wazima wanaonekana kulewa hata huyo mama hayuko sober!
   
 13. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,776
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Masa life yenyewe fupi mafisadi wamekaba pande zote mwacha mtoto afurahi life jamni:)
   
 14. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2010
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,515
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 160
  Mkuu Masanilo,

  Nimesoma hiyo analysis kutoka kwenye google. Nimesoma pia huo wasiwasi wako hapo juu. Mimi nafikiri tunaposema pombe tuangalie hiyo alcoholic content yake ikoje. Lubisi una alcohol content ndogo sana. Lubisi ni juice ya ndizi iliyowekwa mtama uliosagwa na kuachwa kwa masaa kadhaa then unachota na kunywa. Sijui kama mbege ni mbaya kwa watoto. Huwa siamini kama mbege ni pombe na hata nikinywa huwa siwezi kujisikia hata kwa mbali kama nimekunywa pombe. Lubisi na Mbege vyote ni product ya ndizi.

  Inawezekana kuna wataalamu zaidi wa Lubisi humu watakuja kueleza zaidi.

  Tiba
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Well, unajua alcohol kama ipo kwenye kiwango kidogo sana let say 0.5 % by vol madhara yapo tuseme labda si makubwa. Alcohol poisoning ni mbaya hata kwa wakubwa. Alcohol ipo hata kwenye hizi dawa zetu za kila siku ikiwa kwenye kiwango kidogo sana basi hata madhara yake ni kidogo! Fermentation ya carbohydrates hutengeneza pombe, sasa Lubisi ikikaa siku nyingi inaweza kuwa kali karibia na gongo maana kitendo cha fermentation kitaendelea.....
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Maisha mafupi sawa! Lakini isiwe sababu ya kutojilinda ama kutochukua tahadhali.......mfano condoms zitumike wakati wote usijihatarishe kwa kuwa maisha ni mafupi!
   
 17. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2010
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,813
  Likes Received: 4,395
  Trophy Points: 280
  Port, unajua siku hizi tunaishi era za google na dot com! Kwa hiyo I understand your concern.

  Ila ukweli ni kwamba akina Masanja hapa ni mifano iliyo hai. Infact I can say wengine pombe ilikuwa ni kama catalyst ya kutusaidia kufaulu. At times I wonder kwanini vijana wa siku hizi wanashindwa shule. Unakuta mtu bila aibu ana zero au four! Sijui ni kwa nini. Maana nikipiga flash back nilikotoka mpaka hapa nilipo..I just feel kwamba nimepita wazingira magumu sana. I would advise vijana wafanye homework ya kufikiria. Wajue kwamba wako blessed kuishi wakati kama huu.

  Hivi port umeshawahi kwenda village? utakuta watoto wanaamka wanacheza barabarani kwenye matope wakiwa vifua wazi, hawaijui chai sana sana breakfast ni kipolo cha viazi saa tano au sita mchana (ku-compensate na lunch maana mama anatoka shambani late sana). Lakini utawakuta vijana wana afya hakika. thubutu mwanao atoke nje bila sweta. Atapata pneumonia.

  My message is..vijana wa village wanaishi mazingira tofauti na wana adapt kuliko watoto wa town. Ndo maana akina Masanja pombe tulikunywa na shule tukafaulu. MAANA tulijua..ukifeli la saba au popote. Basi hiyo ni license ya kuwa mkulima! Wakati Mjini vijana wana second chance kwa opportunities!

  Anyway sitetei pombe maana naamini zina madhara yake. Lakini waambieni watoto wenu wafanye homework zao. Pombe si mbaya kama unaelewa unachokifanya. Ultimately, mtoto mdgo kama huyu hapo kwenye picha si vyema kumpa pombe..ila anaweza kuonja...
   
 18. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #18
  Feb 23, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 12,076
  Likes Received: 4,450
  Trophy Points: 280
  wasomi sana nchi hii ni wachaga na wahaya! so makabila mengine sijui waige kuwapa watoto kilevi au la! (jokes)
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...