Loyd Nchunga abwaga Manyanga pale Dar Young African[YANGA]

Tugutuke

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
501
165
Yule rais ama Mwenyekiti wa klabu ya Yanga ya Dsm ameamua kusalimu amri kwa Mzee Akilimali. Kabwaga manyanga time hii.
Source: www.youngafrican.blogsport.com
 
Sasa kale kajamaa ambacho kanaongoza kila kitu mpaka uchaguzi wa Yanga kanasemaje?
 
sasa hata kama akijiuzulu nani atakuwa mbadala wake?
i fear for yanga.
 
Hii ndo Tanzania watu mnaipenda YANGA kuliko nchi, mpo Tayari kuvumilia Njaa,ukosefu wa Ajira,Rushwa,ukosefu wa huduma zote za jamii lakini hamuwezi KUVUMILIA KIPIGO CHA BAO TANO!!!!
 
Hii ndo Tanzania watu mnaipenda YANGA kuliko nchi, mpo Tayari kuvumilia Njaa,ukosefu wa Ajira,Rushwa,ukosefu wa huduma zote za jamii lakini hamuwezi KUVUMILIA KIPIGO CHA BAO TANO!!!!

mbona kunajirani alipigwa kumi na mbili na babo j1 anenda sherekea dar liv ,. Twachieni yanga yetu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom