Lowassa

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
814
ANATAKIWA ACHAFUE KITI
TUBU BABA
TUELEZE KUHUSU RICHMOND
KWA NINI ULIACHA UWAZIRI MKUU
WALIOSHIRIKI RICHMOND
Wabaya wako wanakuchafua,njoo kwa wananchi watakusikiliza,
 
ANATAKIWA ACHAFUE KITI
TUBU BABA
TUELEZE KUHUSU RICHMOND
KWA NINI ULIACHA UWAZIRI MKUU
WALIOSHIRIKI RICHMOND
Wabaya wako wanakuchafua,njoo kwa wananchi watakusikiliza,

Anataka kufanya yale ambayo Chenge amemfanyia Sitta kwenye kinyang'anyiro cha uspika.Picha ya wasanii hawa inaendelea.JK kata ngebe kwa kulivua Gamba likaseme likiwa nje ya kundi.
 
Nimegundua kuna Watu/members wamepandikizwa humu JF ili, ama kumtetea Lowassa katika Thread zinazoanzishwa kumhusu, au Kuanzisha Thread zinazotaka Kumsafisha Lowassa. Na hizi ni Mbinu tu za nafasi ya Lowassa kueleka Uchaguzi Mkuu 2015, kutaka Kuingia Ikulu
 
@umechelewa kushtuka. Kawia ufike
 
Anataka kufanya yale ambayo Chenge amemfanyia Sitta kwenye kinyang'anyiro cha uspika.Picha ya wasanii hawa inaendelea.JK kata ngebe kwa kulivua Gamba likaseme likiwa nje ya kundi.

Weeeee thubutu, JK amvue gamba, yeye ndio atavuliwa. Problem kubwa ya JK ni mambo ya ushikaji, kuwapa watu vyeo kwa kujuana hii ndio ina m cost sasa hivi. EL know ins and outs za JK akisema amwage ukweli tu serikali hatunayo tena.
 
huyu ni mzinguaji hana lolote la kujitetea kwa wananchi kama alishindwa kujisafisha kipindi alivyokuwa waziri kwa sasa hana nafasi kama ni kweli kajiua mwenyewe uwiiiii RIP...alafu ana kazi kuja kubadili jina la fisadi ni kazi hata kama si la kwako kwanini hukulitolea maelezo huwa nikisikia hili jima nakumbuka mengi.
 
lowasa akitubu kutatokea mpasuko mkuu ndani ya magamba
wasiwasi wangu watampeleka gamboshi mapema asije kuwataja wahusika.
 
Nimegundua kuna Watu/members wamepandikizwa humu JF ili, ama kumtetea Lowassa katika Thread zinazoanzishwa kumhusu, au Kuanzisha Thread zinazotaka Kumsafisha Lowassa. Na hizi ni Mbinu tu za nafasi ya Lowassa kueleka Uchaguzi Mkuu 2015, kutaka Kuingia Ikulu

haitosaidia,sis ni sehemu ya wtz wachache sana
 
Lowassa ana karata moja ingawa matokeo yote ni wote tukose. Karata yenyewe ni kueleza alivyoshirikiana na Kikwete kuileta Richmond na jinsi walivyoshirikiana kuiba pesa benki kuu chini ya mradi wa EPA. Vinginevyo anachofanya Lowassa ni kutaka kumfufua maiti jambo ambalo halijawahi kufanywa na binadamu. Kwanini asiamue kumwaga mtama ili wote na Kikwete wakaisha vizuri bila kusahau Chama Cha Mafisadi?
 
wamesema mengi sana juu yako lakini natambua kwa ujasiri wako na nidhamu uliyonayo katika chama maelezo yako yatasaidi kujenga nchi yetu, wenye mawazo finyu wasitegee kwamba unaenda kutamka majina ya watu pale , hapana,, unaenda kueleza matatizo ya nchi yetu kwani wewe ni kiongozi mkubwa sana katika nchi hii, na usikanyage mtengo wa waandishi wa habari kwa kukushinikiza utaje majina, eleza matatizo yanayotukabili na wenye akili watatambua yameletwa na nani, tunakuamini na tupo wote mpaka 2015 mungu akipenda tupeperushe bendera yetu mzee. Tanzaa nia,, Tanzania nakupenda kwa moyo woteeee....
 
haitosaidia,sis ni sehemu ya wtz wachache sana

Unajua vita vya panzi,ni furaha kwa kunguru? Inawezekana wapo wanaomtetea,but my side, kama mwananchi,wanamtajataja kwenye urais,na kama ni kweli anaihitaji hiyo nafasi,atubu,Aki2bu ujue atasema kweli,hawezi kushu2miwa peke yake,na akisema serikali ya kikwete itatetereka,inawezekana ikaanguka,then hujui next? Kuwa kama umesoma,botha wa south africa alivo repent(tubu)aliupata urais? Alipata heshima! Lowasa hana shida ni tajiri,utajiri wa kilimo na mifugo,kama ni wizi huo ni wake na hakuna msafi ccm,,
 
Lowassa ana karata moja ingawa matokeo yote ni wote tukose. Karata yenyewe ni kueleza alivyoshirikiana na Kikwete kuileta Richmond na jinsi walivyoshirikiana kuiba pesa benki kuu chini ya mradi wa EPA. Vinginevyo anachofanya Lowassa ni kutaka kumfufua maiti jambo ambalo halijawahi kufanywa na binadamu. Kwanini asiamue kumwaga mtama ili wote na Kikwete wakaisha vizuri bila kusahau Chama Cha Mafisadi?

umenena,hapo ndo panatakiwa,amwage mchele,,,,,,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom