Lowassa, zi wapi zile mbwembwe za harambee za milioni 100-500 za kila wiki?

kzba

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,355
789
Ilikuwa kawaida sana kwa kila wiki kusikia mh mang'ombe mara katoa milioni 100 kanisani mara milion 500 msikitini mara milion 50 weruweru mara katoa 3bilion kuwanunuwa wakina mwafulani na chama kizima yan ilikuwa vagalanti
Nauliza mbona zile mbwembwe za mh zimeisha!!!!???? au ndo kashanyooka!!?? wadau
Asante sana Ngosha kwa kuanza kutufanya kuwa na usawa ktk nchi hii
Naamin mpaka mwakani tutaheshimiana dadadeki.
 
Utakapojua kuwa kile enzi na kitabu chake hutarudia kuandika haya uliyoyaandika
 
Zilikuwa kiki za kutaka urais......ana shahada ya sanaa zubaishi
 
Ilikuwa kawaida sana kwa kila wiki kusikia mh mang'ombe mara katoa milioni 100 kanisani mara milion 500 msikitini mara milion 50 weruweru mara katoa 3bilion kuwanunuwa wakina mwafulani na chama kizima yan ilikuwa vagalanti
Nauliza mbona zile mbwembwe za mh zimeisha!!!!???? au ndo kashanyooka!!?? wadau
Asante sana Ngosha kwa kuanza kutufanya kuwa na usawa ktk nchi hii
Naamin mpaka mwakani tutaheshimiana dadadeki.
Well said!
 
Lowassa%2BKauli%2BBy%2BFEDE.jpg
 
Kzba bado uko kwenye kampeni loo aibuuu
Hapana kaka hiki kibabu ni kinafiki kweli aisee
Kumbe kilikuwa na mipango yake kipindi kile mbona sasa kimya dadeki mi simwamini tena na hafai hata kwa kulumagia aisee
 
Back
Top Bottom