Lowassa yuko wapi??

Tungemuacha huyu Mzee apumzike.

Kiukweli katushangaza wengi ku mute.
 
Mtajichanganya tu mzee anaandaa nondo ambazo wakina jery muro wanazitoa kuitetea serikali wakat wao wapo kimya wanasubir taarifa za wahalifu wakina jery wamejipa shughuli za upelelez
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom