Lowassa will never win says South Africa

Majabu huyo ripota yuko nairobi kenya anareport habari za bongo duhh
 
Wajinga wameongezeka sana nchini kwetu, reporter wa Nairobi ndio msemaji wa serikali ya South Africa?

Kweli vipaumbele vya Mzee yuko sahihi ni Elimu Elimu Elimu.
 
Mkenya mwenyewe hata katiba ya Tanzania haijui.
Hakuna re_run. Yeyote anayeshinda hata akipata 40% atakuwa rais. Katiba yetu si sawa na katiba ya Kenya.

Pia aliyetuma huu uzi hajui lugha. Hakuna waliposema Magufuli atashinda.
 
Afrika Kusini wamesema Dr.Pombe Magufuli anaongoza mpaka sasa hivi na Lowasa atashindwa uchaguzi!




wamesema wakiwa kama wakina nani????? tuana uhusiano nao gani kwene uchaguzi.???? kwa hiyo wanachosema wao ndicho kinachokuwa??? mkuu mbona unaleta maada nyepesi sana ubaoni.!!!!!
 
Last edited by a moderator:
watu wengine hawana tofauti na bata,
akichechemea haeleweki,akitembea kwa maringo haeleweki!
 
Tatizo lako wewe Barbarosa or whatever you call yourself ni kutokujua kiingereza!! Unachukua maoni ya Sarah Kimani; correspondent wa SABC unayaita maoni ya Afrika kusini kisha unatoka nduki kuja jamvini kupost ujinga!

Isikilize clip vizuri, msikilize anchor aliyeko studio akimhoji Sarah aliyeko hapa tanzania ndio utaelewa kinachozungumzwa! ukisema Afrika kusini unamaanisha nchi ambayo inawakilishwa na serikali. sasa hapa kwenye clip hii hakuna hata sentensi moja inayobainisha kwamba Sarah Kimani anawakilisha maoni ya serikali ya afrika kusini; na hata hivyo kidiplomasia serikali yoyote dunia haiwezi kukoment kwenye swala kama hilo la ndani ya nchi ya watu wengine;

Barbarosa; jiunge na evening classes ukapolish kimombo chako; umebugi hapa!!




Afrika Kusini wamesema Dr.Pombe Magufuli anaongoza mpaka sasa hivi na Lowasa atashindwa uchaguzi!


 
Last edited by a moderator:
Kama wao ndio wanapiga kura sasa endeleeni kujiongopea ndio maana elimu elimu elimu
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom