Desteo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 494
- 123
Kama ilivyo ada, kila asemalo huyu mdau huwa linakuwa gumzo.
Ni njia ipi mbadala wa uchaguzi ya kumuondoa rais madarakani ukiacha Bunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais? Kadhalika ni njia ipi mbadala wa ile inayotumiwa na 'waasi' wa Libya?
Habari ya alichokisema Lowasa ni kwa mujibu wa tbc
Alikuwa akihojiwa kuhusu sakata la libya. Akasema wananchi wana haki ya kumuondoa rais madarakani ila si kwa staili ya libya. Akasema hakuna kitu kinachowazuia kufanya hivyo kama wakiamua ila ni kwa njia ipi anaondolewa.
Mwaweza pia kucheki news ya saa 5 usiku tbc