LOWASSA: Wananchi wana haki ya kumuondoa Rais madarakani

Desteo

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
494
123
Kama ilivyo ada, kila asemalo huyu mdau huwa linakuwa gumzo.

Ni njia ipi mbadala wa uchaguzi ya kumuondoa rais madarakani ukiacha Bunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais? Kadhalika ni njia ipi mbadala wa ile inayotumiwa na 'waasi' wa Libya?

Habari ya alichokisema Lowasa ni kwa mujibu wa tbc

Alikuwa akihojiwa kuhusu sakata la libya. Akasema wananchi wana haki ya kumuondoa rais madarakani ila si kwa staili ya libya. Akasema hakuna kitu kinachowazuia kufanya hivyo kama wakiamua ila ni kwa njia ipi anaondolewa.

Mwaweza pia kucheki news ya saa 5 usiku tbc
 
Lazima ataondoka, mtu akiingia kwa kuiba lazima damu ya watanzania itasimama juu yake. Na mambo yanavyokwenda lazima ang'oke
 
Sioni/hatuoni juhudi zozote toka miongoni mwetu kufanikisha hili hapa kwetu
 
Kampeni za Lowassa ambaye yeye ndiye mnafiki kama Marekani walvyoifanya Somalia - HATUDANGANYIKI.. Na atakaye danganyika bila shaka ni Mdanganyika toka mwanzo!
 
Hujasema kwamapana amesemaje lowasa? Embu weka habari iliyokamilika kabla yakutoa mawazo yako ili nasis 2pate pakuanzia kutoa mawazo kumbuka sio wote 2na tv
 
habari yako kama ipo shallow shallow hivi,..elezea kwa kirefu sio wote tulioangalia tbc,..kama kumuondoa madarakani kikwete hakuna mwenye hamu ya kufanya hivyo kwa sasa zaidi ya lowassa for how he feels betrayed by that traveller
 
At least Lowassa has guts za ku-make tough decisions kuliko serikali hii legebwege
 
Afadhali hata Lowassa ambaye amethubutu kuchukua maamuzi magumu.
 
Angekuwa waziri mkuu angesema hayo? watanzani watanzania tusiige kunya kwa tembo, nasi tukaingia mkenge, watatukaangia mbuyu watuachie wenye meno tutafune, yeye kisha paa nchi inawaka moto
 
Alikuwa akihojiwa kuhusu sakata la libya. Akasema wananchi wana haki ya kumuondoa rais madarakani ila si kwa staili ya libya. Akasema hakuna kitu kinachowazuia kufanya hivyo kama wakiamua ila ni kwa njia ipi anaondolewa. Mwaweza pia kucheki news ya saa 5 usiku tbc
 
Miafrika jamani ama kweli tutatawaliwa hadi kiyama yaani leo Lowassa amekuwa hero wa watu kwa sababu anatakiwa kujivua gamba!.. mbona maneno yanamtoka baada ya kuenguliwa..Hizi guts za kuzungumza hazina manufaa kwa Taifa kwa sababu yeye ndiye sababu ya matatizo ya UMEME nchini!..Noone else ni Lowassa kwa maamuzi yake mabaya ndio leo tupo kizani. Yeye ni fisadi na anatakiwa kuwa behind bars - Segelea!
 
Ndg yng huo ujumbe ni mzito hebu tueleze kwa kina ujue jambo kama hilo ni kosa mana hunamaelezo yanayoeleweka kama hukuelewa usiandike kitu kama hicho ujue hiyo kauli ni nzito sio busala kukulupuka mt wng.WEKA MAELEZO YANAYOELEWAKA
 
Afadhali hata Lowassa ambaye amethubutu kuchukua maamuzi magumu.
Huyu PAPA hadhubutu kufanya maamuzi kama ya huyu mshikaji wake EL na nasikia siku hz kuna tetesi hawaendi vema kutokana na EL kumtaka mkuu wake afanye mabadiliko lakini JK hataki.

Lenye mwanzo hata mwisho upo na nafikiri bado muda kidogo tu mambo yote yatakuwa wazi kwa kila Mtanzania mwenye haki na Nchi yake yenye BARAKA YA MUNGU kila kona.
 
jana mliona watu wazima na akili zao wakimsukuma yule mwizi .sasa unategemea nini kama wasomi na wachambuzi wa mambo wanafanya hivyo......
wananchi wa chini ndio wataikomboa nchi hii lakini sio wasomi wa nchi hii.........
 
baadhi ni mtizamo wangu hapo juu. Ila kwa uelewa mzuri, anzieni hapo "alikuwa akihojiwa..." ishu ya uchaguzi na bunge kupiga kura ya kutokuwa na imani ni ya kwangu
 
Back
Top Bottom