Lowassa: Wakenya msijilaumu, nchi yenu iko mbele kiuchumi kuliko nchi zote za Afrika Mashariki

Tutawapita Kenya soon tukipata fedha za makinikia Trillion 108 kila MTU akianza kuwa na Noah yake Africa Mashariki tutakuwa na uchumi ya Noah ambapo sio Jambo dogo kama unajua Bei ya kinguruwe kimoja ambapo kinapiga safari za kila kichwa miatano na moshi Tarekea 3000

Post sent using JamiiForums mobile app
Hayo matrilioni ya makinikia mtasubiri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huyu wa retrenchment nae sijui ina uhusiano gani na uchumi lakini retrenchment unaweza kufanya kama unataka ku down size the company!!! haina uhusiano na kufilisika, hata hivyo uchumi wa Tz wakati wa JK ulikuwa unakua kwa 7% lakini yote sababu ya madawa ya kulevya. Sasa hivi ndio kuna uchumi halisi kila senti ina thamani
Inabidi ukapimwe mkojo wewe.
 
Hiv
lowasa ana degree ya Fine and Performing Arts so muacheni aitendee haki elimu yake
Hivi hiyo degree inasomwa wapi ? Hamna degree popote pale na wewe ni GT ? Elimu ya kukariri na madhara yake.
 
" Ukuaji wa uchumi" na "uchumi" ni vitu viwili tofauti.
Nchi A inaweza kuongoza kwa ukuaji wa uchumi dhidi ya nchi B,lakini nchi B ikawa iko mbele kiuchumi dhidi ya nchi A.

Post sent using JamiiForums mobile app
Hatakama, ila nchi A ikikua kwa 3% bado itakua juu ya nchi B inayokuwa kwa 6%.
 
Mlima Kilimanjaro uko Tanzania peke yake

Watalii watakuja tu, Duh..kweli wapo wajinga wengi

utafiti wa TWAWEZA uko sahihi
 
EL hana hekima wala uzalendo, hutakuja kusikia kiongozi wa upinzani wa Kenya akienda Ethiopia akatamka maneno kama hayo japo ni kweli.
 
Back
Top Bottom