Lowassa: Wakenya msijilaumu, nchi yenu iko mbele kiuchumi kuliko nchi zote za Afrika Mashariki | Page 4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa: Wakenya msijilaumu, nchi yenu iko mbele kiuchumi kuliko nchi zote za Afrika Mashariki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtarban, Jul 16, 2017.

 1. M

  Mtarban JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2017
  Joined: Jan 14, 2015
  Messages: 3,170
  Likes Received: 3,486
  Trophy Points: 280
  Kulingana na kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi yetu ambapo Tanzania inaongoza kwa ukuaji wa uchumi Afrika, Je, Lowassa kadanganya au yuko sahii kusema nchi ya Kenya iko mbele kiuchumi?
   
 2. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #61
  Jul 17, 2017
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  Kiakili wamekuzidi wewe mkuu
   
 3. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #62
  Jul 17, 2017
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Tuko kwenye nchi zinazoongoza kwa kupika tafiti duniani... siwezi shangaa kama hata data zetu ni za kupika...
   
 4. MKWEPA KODI

  MKWEPA KODI JF-Expert Member

  #63
  Jul 17, 2017
  Joined: Nov 28, 2015
  Messages: 18,181
  Likes Received: 36,954
  Trophy Points: 280
  Mkuu angalia mikataba mbalimbali wanayosaini ikiwemo ya madini, gesi na mafuta ndiyo utajuwa sisi ni malofa
   
 5. Hess

  Hess JF-Expert Member

  #64
  Jul 17, 2017
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 180
  Mkuu nina hakika umenielewa mkuu... hahahahah
   
 6. l

  laki si pesa. JF-Expert Member

  #65
  Jul 17, 2017
  Joined: Jul 14, 2015
  Messages: 8,303
  Likes Received: 6,702
  Trophy Points: 280
  wewe ni mkenya?
   
 7. Ilitarakimura

  Ilitarakimura JF-Expert Member

  #66
  Jul 17, 2017
  Joined: Feb 7, 2016
  Messages: 2,522
  Likes Received: 1,387
  Trophy Points: 280
  Kenya ni habari nyingine katika Nchi za Afrika Mashariki,kwa tunaoifuatilia kwa makin.

  Post sent using JamiiForums mobile app
   
 8. l

  laki si pesa. JF-Expert Member

  #67
  Jul 17, 2017
  Joined: Jul 14, 2015
  Messages: 8,303
  Likes Received: 6,702
  Trophy Points: 280
  mkuu sasa inakuwaje Kenya watuzidi kipato kwa mwaka halafu sisi tuwazidi ubora wa maisha? Kenya walichotuzidi ni viwanda tu mambo mengine tumewazidi
   
 9. Ilitarakimura

  Ilitarakimura JF-Expert Member

  #68
  Jul 17, 2017
  Joined: Feb 7, 2016
  Messages: 2,522
  Likes Received: 1,387
  Trophy Points: 280
  Endelea kuota mkuu

  Post sent using JamiiForums mobile app
   
 10. Ilitarakimura

  Ilitarakimura JF-Expert Member

  #69
  Jul 17, 2017
  Joined: Feb 7, 2016
  Messages: 2,522
  Likes Received: 1,387
  Trophy Points: 280
  Mkuu usipoteze muda kubishana na Mtu asiyejua nini? unazungumzia

  Post sent using JamiiForums mobile app
   
 11. Ilitarakimura

  Ilitarakimura JF-Expert Member

  #70
  Jul 17, 2017
  Joined: Feb 7, 2016
  Messages: 2,522
  Likes Received: 1,387
  Trophy Points: 280
  Hiyo kas unayoizungumzia ni ya nini? mkuu,dadavua hapo

  Post sent using JamiiForums mobile app
   
 12. kabanga

  kabanga JF-Expert Member

  #71
  Jul 17, 2017
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 29,804
  Likes Received: 3,702
  Trophy Points: 280
  ungefanya na takwimu, naamini ningesema
   
 13. Yellow bone

  Yellow bone JF-Expert Member

  #72
  Jul 17, 2017
  Joined: Jun 13, 2017
  Messages: 261
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Tufike mahali watanzania tukubali ukweli..ubishi waki.pu..mv tuache

  Kenya iko mbele kiuchumi na wametuzid mambo mengi zaid...tusijitie moyo kuona fly ove mmoja inajengwa tz ndo tuanze kupata kibur..
  Wakenye wanachapa kazi sana..tanzania bado hatuna roho ya kuthubutu...kila mtu yuko after business za mwezie..huku ni kufatiliana badala ya kufanya kazi...tunamaliza mda mwingi kwenye majungu badala ya utendaji kazi....
  Wajinga mtabisha ila fact ndo hiyo
  Acheni tuonwe maboya maana tumekalia majungu tupu...
  Shame on us
   
 14. Ilitarakimura

  Ilitarakimura JF-Expert Member

  #73
  Jul 17, 2017
  Joined: Feb 7, 2016
  Messages: 2,522
  Likes Received: 1,387
  Trophy Points: 280
  Na wewe ukalelewe kwenye vituo vya Watoto yatima

  Post sent using JamiiForums mobile app
   
 15. brazoo

  brazoo JF-Expert Member

  #74
  Jul 17, 2017
  Joined: Sep 28, 2014
  Messages: 630
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 80
  Mimi nikiangalia media zao tu napata picha halisi kwamba hawa sio wenzetu

  Post sent using JamiiForums mobile app
   
 16. kidambinya

  kidambinya JF-Expert Member

  #75
  Jul 17, 2017
  Joined: Jan 11, 2016
  Messages: 453
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 80
  Kwa ubaguzi, ubinafsi na ujuha you are the best maana hamuwezi kuwaachia wananchi wachache ardhi na wengine mkawa waangaliaji

  Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
   
 17. Mwanzambaya

  Mwanzambaya JF-Expert Member

  #76
  Jul 17, 2017
  Joined: Jul 27, 2016
  Messages: 654
  Likes Received: 509
  Trophy Points: 180
  Traffic wakikazana kwenye kukusanya faini kwa bidii na moyo wa dhati kabisa,,kenya atatukamatia mbali sana kiuchumi
   
 18. Mmexico

  Mmexico Senior Member

  #77
  Jul 17, 2017
  Joined: Nov 1, 2016
  Messages: 149
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Kiuchumi Kenya katupita sana tu, ila kasi ya ukuwaji Uchumi wetu tumewapita Kenya na wakiendelea kulegalega Basi tutawapita ndani ya Miaka mi-5.


  Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
   
 19. W

  Wamabere JF-Expert Member

  #78
  Jul 17, 2017
  Joined: Jul 19, 2016
  Messages: 614
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Sasa huyu wa retrenchment nae sijui ina uhusiano gani na uchumi lakini retrenchment unaweza kufanya kama unataka ku down size the company!!! haina uhusiano na kufilisika, hata hivyo uchumi wa Tz wakati wa JK ulikuwa unakua kwa 7% lakini yote sababu ya madawa ya kulevya. Sasa hivi ndio kuna uchumi halisi kila senti ina thamani
   
 20. W

  Wamabere JF-Expert Member

  #79
  Jul 17, 2017
  Joined: Jul 19, 2016
  Messages: 614
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Kama wanaiba vituo visifungwe akili za wapi hizi?
   
 21. MISULI

  MISULI JF-Expert Member

  #80
  Jul 17, 2017
  Joined: Jan 15, 2014
  Messages: 1,773
  Likes Received: 964
  Trophy Points: 280
  Hii kauli yĆ  lowasa iko kikampeni zaid. Mwenye macho matatu kashaona

  sent from kitochi using jamii forum
   
Loading...