Lowassa: Wakenya msijilaumu, nchi yenu iko mbele kiuchumi kuliko nchi zote za Afrika Mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa: Wakenya msijilaumu, nchi yenu iko mbele kiuchumi kuliko nchi zote za Afrika Mashariki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtarban, Jul 16, 2017.

 1. M

  Mtarban JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2017
  Joined: Jan 14, 2015
  Messages: 3,148
  Likes Received: 3,443
  Trophy Points: 280
  Kulingana na kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi yetu ambapo Tanzania inaongoza kwa ukuaji wa uchumi Afrika, Je, Lowassa kadanganya au yuko sahii kusema nchi ya Kenya iko mbele kiuchumi?
   
 2. Hess

  Hess JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2017
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 180
  Unajifungia ndani kwako unakula vitumbua vyako na bamia afu unsjisifu nakula vizuri kuliko jirani wakati hujawahi kumtembelea ukajua anakulaje.... kaeni ndani mnyoshe nchi... uchumi wenu namba 1 East Africa.

  Post sent using JamiiForums mobile app
   
 3. MKWEPA KODI

  MKWEPA KODI JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2017
  Joined: Nov 28, 2015
  Messages: 18,140
  Likes Received: 36,828
  Trophy Points: 280
  Mkuu hilo nalo unauliza mbona lipo wazi kabisa, Kenya wametuzidi sana kiuchumi na kiakili
   
 4. kiumbe kipya

  kiumbe kipya JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2017
  Joined: Sep 30, 2016
  Messages: 2,063
  Likes Received: 849
  Trophy Points: 280
  Kwni vitumbua na bamia siyo chakula??

  Post sent using JamiiForums mobile app
   
 5. SirChief

  SirChief JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2017
  Joined: Jun 23, 2014
  Messages: 1,705
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Kwani lowassa amezungumzia ukuaji au amezungumzia Kwa sasa ukubwa wa uchumi uko vipi?...Sijui kama ulielewa hapa.

  In this world,It doesn't matter who you are,But what you do to Survive.
   
 6. m

  mshumbue-soi JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2017
  Joined: Aug 28, 2013
  Messages: 1,839
  Likes Received: 786
  Trophy Points: 280
  Tutawapita Kenya soon tukipata fedha za makinikia Trillion 108 kila MTU akianza kuwa na Noah yake Africa Mashariki tutakuwa na uchumi ya Noah ambapo sio Jambo dogo kama unajua Bei ya kinguruwe kimoja ambapo kinapiga safari za kila kichwa miatano na moshi Tarekea 3000

  Post sent using JamiiForums mobile app
   
 7. Perfectz

  Perfectz JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2017
  Joined: May 17, 2017
  Messages: 4,857
  Likes Received: 8,930
  Trophy Points: 280
  Daaah hii ni sawa na kusifia kuwa mke wa jirani ni mzuti kuliko wako.Mboreshe wako kwanza awe kama wa jirani ama sivyo kaa kimya kuepuka fedheha

  Post sent using JamiiForums mobile app
   
 8. Iramusm

  Iramusm JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2017
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 424
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  " Ukuaji wa uchumi" na "uchumi" ni vitu viwili tofauti.
  Nchi A inaweza kuongoza kwa ukuaji wa uchumi dhidi ya nchi B,lakini nchi B ikawa iko mbele kiuchumi dhidi ya nchi A.

  Post sent using JamiiForums mobile app
   
 9. B

  Benn Chinendachi Member

  #9
  Jul 16, 2017
  Joined: May 29, 2017
  Messages: 54
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 25
  Exactly kiuchumi Kenya wapo juu hili halihitaji kutoa povu ni LA kitakwimu sema sasa uchumi wetu unaonyesha Steady Growth tuende hivyo in the Long Run tutawafikia tukitengeneza pillars nzuri kwa mfano Kenya kwa sasa vijana wengi wanaomaliza Elimu ya juu wanaajiriwa na sekta binafsi sisi ni kinyume chake

  Post sent using JamiiForums mobile app
   
 10. Lobapula

  Lobapula JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2017
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 2,252
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  lowasa ana degree ya Fine and Performing Arts so muacheni aitendee haki elimu yake
   
 11. B

  Babati JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 30,939
  Likes Received: 24,071
  Trophy Points: 280
  Lowassa atakamatwa kwa kuikandia nchi ya viwanda vya cherehani.
   
 12. TheIndomitableOne

  TheIndomitableOne Member

  #12
  Jul 16, 2017
  Joined: Oct 11, 2014
  Messages: 54
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 25
  These "Kenya v/s Tanzania" debates you bring us everyday is foolishness and don't take us anywhere as neighbour countries.

  These topics area a disgrace to us people who call ourselves brothers and sisters.

  I think we have more important issues to discuss!!
   
 13. l

  lebabu11 JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2017
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 1,648
  Likes Received: 514
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Naomba ufafanuzi wa mambo mawili uliyoandika hapo juu;

  1. Hiyo steady growth ya uchumi ni takwimu za mwaka gani? Bado inaendelea?

  2. Sector binafsi ya Tanzania inakua kama ilivyo Kenya?

  3. Unapoandika watafikiwa kwa sababu ya steady growth kwani wao growth rate ni zero? au ni ndogo sana kulinganisha na hiyo?
   
 14. M

  Martin George JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2017
  Joined: Jun 4, 2017
  Messages: 1,507
  Likes Received: 1,302
  Trophy Points: 280
  Lowasa bhana anazungumzia uchumi msibani!!! Enhe na Mwigulu alisemaje?!!
   
 15. Emmadogo

  Emmadogo JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2017
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 4,162
  Likes Received: 3,384
  Trophy Points: 280
  Sisi huku private sector zinakufa
  ..sasa sijui hiyo growth inaokea wapi

  Post sent using JamiiForums mobile app
   
 16. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2017
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Kenya iko mbele kiuchumi na kwa kipato cha mwananchi

  Watanzania wangapi wana uwezo wa kufanya utalii,,,,Wakenya wengi wanatembea mbuga za wanyama Tz kama Ngorongoro, Kilimanjaro etc Pasaka na Christmas Wakenya wanafanya utalii mkubwa sana...

  Viwanda...Kenya iko mbele sana.....Bidhaa za Kenya ni bora sana

  Blue band, Colgate, Nivea, Sabuni za kuoga, mafuta ya kupikia....etc Kenya wana export bidhaa hizi...Je Tanzania ni lini mtaanza kupeleka Kenya bidhaa zenu kama hizi?

  Kenya Ina budget kubwa zaidi ya Tanzania na wanajitegemea

  Uchumi kukua kwa % kubwa sio uchumi mkubwa...Vilaza wa Lumumba wana comment upumbavu...

  Uchumi wa Tanzania unakuwa kwa % kubwa kuliko USA, Ulaya, Je ....Tanzania ni tajiri kuliko USA....Think before you comment...If you don't know...go away without comment
   
 17. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2017
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Wangoje Kenya Wamalize Uchaguzi...Watalii watamimika Kenya mpaka basi..

  Tanzania mtabaki na VAT yenu kweupe
   
 18. kibanga 3

  kibanga 3 JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2017
  Joined: Jul 6, 2015
  Messages: 1,380
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hili nalo haliitaji digrii kulijua wakenya ndio wanaongoza kuwekeza Tanzania sasa Kwa nini wasitutangulie? Na ukifikiria wao wanaviwanda vya kutosha wakati sisi ndio tunafikiria kujenga tuache unafiki tuwapongeze majirani zetu kiuchumi wako vizuri

  Post sent using JamiiForums mobile app
   
 19. impongo

  impongo JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2017
  Joined: Feb 18, 2015
  Messages: 2,486
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Mkuu ujumbe wako mruaaaa ila sijui ulimanisha nini?

  Post sent using JamiiForums mobile app
   
 20. NIYOMBARE

  NIYOMBARE JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2017
  Joined: Aug 26, 2016
  Messages: 2,895
  Likes Received: 3,148
  Trophy Points: 280
  Wakenya wako mbele kila sekta.tz tuko mbele kiunafiki na kiufisadi.
   
Loading...