Lowassa wakati akigombea Urais hata siku moja hakuwahi kuvidhalilisha vyombo vya usalama! Unadhani ni kwanini

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,685
11,988
Hebu tujikumbushe kidogo
Toka Lowassa aende upinzani na hadi anarudi Ccm hata siku moja hakuwahi kutoa shutuma dhidi ya vyombo vya usalama hata kwa bahati mbaya

Katika majukwaa yake ya siasa akiwa CHADEMA hakuwahi kuwatamka hawa watu anajua umuhimu wake ,tukumbuke Lowasa alikuwa kiongozi mwandamizi serkalini ila hakuwahi kudhalilisha vyombo vya usalama

Sasa anatokea mtu mwingine yeye anaropoka ropoka tu mara TISS hivi mara polisi vile mara jeshi vile Unakaa unafikiria huyu mtu anawashauri! Kama anawashauri Kwanini wanamshauri vibaya?

Basi unamhurumia tu hajui alitendalo maskini
Kwasababu hapo tayari yeye mwenyewe anajiweka kwenye black list ndani ya vyombo vya usalama hawezi kupata msaada wowote

Huyu mtu Inawezekana anabalaa zinamwandama tumhurumie tu
 
Yani Lisu atoke kutangaza nia baada ya masaa machache Mbowe avamiwe?

Tena avamiwe saa saba usiku alikuwa anatoka wapi?
Kuna dalili ya Lisu kutengenezewa tukio la kufunikwa hapa .

pole sana Mh Mbowe.
 
Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao
Yani Lisu atoke kutangaza nia baada ya masaa machache Mbowe avamiwe?

Tena avamiwe saa saba usiku alikuwa anatoka wapi?
Kuna dalili ya Lisu kutengenezewa tukio la kufunikwa hapa .

pole sana Mh Mbowe.
 
Huyu mtu asiyejua kuchunga mdomo anajiropokea tu ndio anataka kugombea Urais
 
Huyu ndugu yetu yupo frastruated kweli mara bunge toka tupate uhuru halipo huru yeye amekuaje mbunge km bunge sio huru
 
Hebu tujikumbushe kidogo
Toka Lowasa aende upinzani na hadi anarudi Ccm hata siku moja hakuwahi kutoa shutuma dhidi ya vyombo vya usalama hata kwa bahati mbaya

Katika majukwaa yake ya siasa akiwa Chadema hakuwahi kuwatamka hawa watu anajua umuhimu wake ,tukumbuke Lowasa alikuwa kiongozi mwandamizi serkalini ila hakuwahi kudhalilisha vyombo vya usalama

Sasa anatokea mtu mwingine yeye anaropoka ropoka tu mara Tiss hivi mara polisi vile mara jeshi vile Unakaa unafikiria huyu mtu anawashauri! Kama anawashauri Kwanini wanamshauri vibaya?

Basi unamhurumia tu hajui alitendalo maskini
Kwasababu hapo tayari yeye mwenyewe anajiweka kwenye black list ndani ya vyombo vya usalama hawezi kupata msaada wowote

Huyu mtu Inawezekana anabalaa zinamwandama tumhurumie tu
Ndugu watu wanalalamikia mifumo hata hao vyombo vya ulinzi wanataka mambo yabadilike zikiwemo sheria na mifumo ya uajiri, operations, order, namna ya ushaur pia bajeti

Kiongozi mwenye nia njema atabadili au atakuwa na mtazamo huo
Pole
 
Unachafua jeshi la polisi bado unaomba jeshi la polisi likupe ulinzi
 
Mifumo gani? Kwahiyo yule jamaa akiwananga jeshi la polisi ndio atapata mafaniko ya kisiasa ?
Kwanini mnamtesa ndugu lissu kiasi hicho
Ndugu watu wanalalamikia mifumo hata hao vyombo vya ulinzi wanataka mambo yabadilike zikiwemo sheria na mifumo ya uajiri, operations, order, namna ya ushaur pia bajeti

Kiongozi mwenye nia njema atabadili au atakuwa na mtazamo huo
Pole
 
Amesikika akisema atalia na wajane sisi wagane tutalia na nani ?
 
Huyu mtu inabidi atafakari matendo yake aombe radhi Watanzania kwa kuisaliti Nchi yake
 
Unajiuliza mtu anatoa shutuma za uwongo dhidi ya Rais kuwafurahisha Mabeberu tu lengo ni nini?
 
Hebu tujikumbushe kidogo
Toka Lowasa aende upinzani na hadi anarudi Ccm hata siku moja hakuwahi kutoa shutuma dhidi ya vyombo vya usalama hata kwa bahati mbaya

Katika majukwaa yake ya siasa akiwa Chadema hakuwahi kuwatamka hawa watu anajua umuhimu wake ,tukumbuke Lowasa alikuwa kiongozi mwandamizi serkalini ila hakuwahi kudhalilisha vyombo vya usalama

Sasa anatokea mtu mwingine yeye anaropoka ropoka tu mara Tiss hivi mara polisi vile mara jeshi vile Unakaa unafikiria huyu mtu anawashauri! Kama anawashauri Kwanini wanamshauri vibaya?

Basi unamhurumia tu hajui alitendalo maskini
Kwasababu hapo tayari yeye mwenyewe anajiweka kwenye black list ndani ya vyombo vya usalama hawezi kupata msaada wowote

Huyu mtu Inawezekana anabalaa zinamwandama tumhurumie tu
Kuna mwanasiasa na mwanasiasa uchwara lowasa ni mwanasiasa sio mwanasiasa uchwara ni kama vile mtu anajiita kamanda ukimuuliza ukamanda wako wa Nini hana jibu hao wanaitwa makamanda uchwara
 
Yani Lisu atoke kutangaza nia baada ya masaa machache Mbowe avamiwe?

Tena avamiwe saa saba usiku alikuwa anatoka wapi?
Kuna dalili ya Lisu kutengenezewa tukio la kufunikwa hapa .

pole sana Mh Mbowe.
Alikuwa anatafuta machangu saa Saba za usiku
 
Back
Top Bottom