Lowassa: Wabunge na Mameya wasiowajibika tutawafukuza CHADEMA

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,991
Lowassa ameyasema hayo wakati wa kikao maalum na Mameya na Manaibu wao kutoka Manispaa ya Ilala na Kinondoni waliokwenda kumuona na kumpongeza kwa kuwawezesha kushinda katika Manispaa za Ilala na Kinondoni.

Alisema wameishakubaliana kama wabunge na Madiwani watashindwa kuonyesha uwezo wa kufanya kazi za wananchi katika mwaka wa kwanza na wa pili wataondolewa ndani ya chama.

Alisema CHADEMA siyo chama cha kuendelea kuwa wapinzani. ‘’Tunajenga chama kinachokiandaa kushika dola muda wowote itakapopatikana fursa. Tunataka kuithibitishia dunia kwamba tunaweza kuongoza dola muda wowote zaidi ya CCM’’ Alisema Lowassa.

12507162_1025814757482982_3174170512860316549_n.jpg
 
Lowassa ni zaidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa!

Kauli zake zinaonyesha ukweli wa kile kinasemwa mitaani kuwa pesa zake zimemuwezesha kuinunua CHADEMA!

Watu wanaposema kuinunua CHADEMA haina maana kutumia pesa pekee (monetary transaction) bali hata powerful influence yake inatosha kuinunua CHADEMA.

Fikiria Mameya na Manaibu baada tu ya kutangazwa washindi, brake yao ya kwanza ilikuwa kwenye ofisi za Lowassa na siyo Makao Makuu ya CHADEMA kwenye Mtaa wa Ufipa, Kinondoni.

Kwa sasa anaongea kama zaidi ya Mkuu wa CHADEMA wakati kwa sasa kinadharia ni mwanachama tu wa kawaida wa CHADEMA. Hana cheo chochote ndani ya CHADEMA.

Ama kweli, Lowassa ameibadilisha CHADEMA!

Kwa sasa badala ya People's Power, imekuwa Lowassa Power!

Mpaka Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe amekuwa mfungua mlango wa gari la Lowassa wakati kinadharia Lowassa ndiye alitakiwa afungue mlango wa gari la Mbowe!
 
Lowassa ni zaidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa!

Kauli zake zinaonyesha ukweli wa kile kinasemwa mitaani kuwa pesa zake zimemuwezesha kuinunua CHADEMA!

Watu wanaposema kuinunua CHADEMA haina maana kutumia pesa pekee (monetary transaction) bali hata powerful influence yake inatosha kuinunua CHADEMA.

Kwa sasa anaongea kama zaidi ya Mkuu wa CHADEMA wakati kwa sasa kinadharia ni mwanachama tu wa kawaida wa CHADEMA. Hana cheo chochote ndani ya CHADEMA.

Ama kweli, Lowassa ameibadilisha CHADEMA!

Kwa sasa badala ya People's Power, imekuwa Lowassa Power!
Mawazo na katika Uhuru wa maoni tunayaheshimu
 
Soma habari vizuri, katika Kamati kuu walikubaliana nini?
 
Kimsingi Chadema kwa sasa ni mali ya Lowassa ndiyo unaona anatoa haya matamko peke yake.

Money, Money, Money.

chadema kwisha habari yake, lowasa anatoa maamuzi mazito mazito kama hayo ambayo hata mwenyekiti mbowe hajayatoa inaashiria nini???
 
Soma habari vizuri, katika Kamati kuu walikubaliana nini?
Suala la msingi siyo kusoma habari vizuri, bali ni kuelewa mazingira ya tukio na mantiki ya maneno kwenye habari.

Unaweza kuukataa ukweli lakini kumbuka, Lowassa is bigger than CHADEMA!
 
Lowassa ni zaidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa!

Kauli zake zinaonyesha ukweli wa kile kinasemwa mitaani kuwa pesa zake zimemuwezesha kuinunua CHADEMA!

Watu wanaposema kuinunua CHADEMA haina maana kutumia pesa pekee (monetary transaction) bali hata powerful influence yake inatosha kuinunua CHADEMA.

Fikiria Mameya na Manaibu baada tu ya kutangazwa washindi, brake yao ya kwanza ilikuwa kwenye ofisi za Lowassa na siyo Makao Makuu ya CHADEMA kwenye Mtaa wa Ufipa, Kinondoni.

Kwa sasa anaongea kama zaidi ya Mkuu wa CHADEMA wakati kwa sasa kinadharia ni mwanachama tu wa kawaida wa CHADEMA. Hana cheo chochote ndani ya CHADEMA.

Ama kweli, Lowassa ameibadilisha CHADEMA!

Kwa sasa badala ya People's Power, imekuwa Lowassa Power!
basi uwe wewe Lowassa kama huwezi fanya yako
 
Back
Top Bottom