LOWASSA Vs CCM: CCM Wakati Ni Sasa Wa Maamuzi Magumu ya Kusuka au Kunyoa!

Hivi ni kwa nini watu na wana ccm wanasema kila siku Lowassa ni fisadi na hakuna anaemchukulia hatua?
Je mnataka kutuambia hata zile kelele za akina Mukama na Nape na BWANA MKUBWA za kujivua gamba ni hadithi?mbona hakuna utekelezaji wowote?au ni kelele za kuchafuana tu lakini uhalisia na ukweli unajulikana ya kuwa EL si fisadi na ndio kisa mnashindwa kuchukua hatua stahili?Nahisi kuna kitu zaidi ya wanachokiongea kwa Lowassa.Labda ni kuhusu mbio za kiti kikuu cha pale magogoni.
 
Naomba afya ya kutosha kwa muda uliobaki nishuhudie hii mieleka ya magamba isiyo na refa wala sheria itaishaje
 
- Well, sasa umefika wakati wa Serikali ya CCM kuamua moja either kumuachia Lowassa Serikali, au kuridhisha Katiba na kuwa Serikali halali iliyochaguliwa kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri. I mean what has gone wrong na hili taifa? Kila kukicha it is Lowassa and Lowassa, and Lowassa and Lowassa! What is wrong na CCM? I mean how much money does this man has ambazo toka tumeanza kumsikia akizitumia ku-manipulate our politics haziiishi tu na wala hazithibitiwi na Serikali on uhalali wake?

- CCM ifike mahali sasa tuambiane ukweli, kama we can't stop this man basi tumuachie hiii Serikali kuliko hizi never ending Dramas behind the Scene, WHY? Who is this man? Huku US kuna wakati kulikuwa na Mafia John Gotti, na yeye aliizidia sana Serikali mpaka Rais Clinton, akaamua uamuzi mgumu na kumfunga kwa kuizunguka Sheria, ili kuirudishia heshima na Legitimacy Serikali, Serikali ya CCM inaanza kukosa Legitimacy kwa sababu ya this one man, basi ifike mahali ikubali kushindwa na kumpa anachokitaka yaani URAIS, maana hii sasa imekua kero isiyokwisha na inakimaliza chama mwisho itamaliza hata taifa!

MUCH RESPECT PEOPLEs!

William @...NYC, USA: Mutuz Le Baharia!

Kwa mara ya kwanza umeongea angalau kitu cha maana. Kifo cha CCM kiko mikononi mwa Lowassa. Akipita kura za maoni, kinameguka, asipopita kinameguka sawia. Ni heri magamba wenzio wakafuata ushauri wako. Ila kwa sasa hakuna mtu wa kumtungia Lowassa 'shairi' kama Nyerere alivyofanya kwa baba yako alipokuwa na kihemuhemu kama cha Lowassa mwaka 1994.

Inabidi EL atulizwe kama JK wa ukweli alivyomfanya Jumanne.
 
mi naona akili yako na huyo jamaa mweny mwili mkubwa kuliko akili hazijatofautiana.
 
WaTz kwa ujumla wake ni wazuri sana wa maneno (theories) na sio wazuri wa vitendo (practicals). Kuna wagombea karibu 15 toka CCM wa urais hii ni dalili mbaya na kuonyesha kuwa chama kimekosa dira na umoja na kufanya race ya kwenda Ikulu na kusahau wosia wa JK Nyerere (the ICON). Chama kilipaswa kuanda mrithi wa JK kama vile China, UK au USA. Basi kwa uchache wa haya tunataka rais mzalendo, mpenda watu na anayechukua ufukara na mwenye maamuzi magumu naye ni EN Lowassa.
 
- Well, sasa umefika wakati wa Serikali ya CCM kuamua moja either kumuachia Lowassa Serikali, au kuridhisha Katiba na kuwa Serikali halali iliyochaguliwa kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri. I mean what has gone wrong na hili taifa? Kila kukicha it is Lowassa and Lowassa, and Lowassa and Lowassa! What is wrong na CCM? I mean how much money does this man has ambazo toka tumeanza kumsikia akizitumia ku-manipulate our politics haziiishi tu na wala hazithibitiwi na Serikali on uhalali wake?

- CCM ifike mahali sasa tuambiane ukweli, kama we can't stop this man basi tumuachie hiii Serikali kuliko hizi never ending Dramas behind the Scene, WHY? Who is this man? Huku US kuna wakati kulikuwa na Mafia John Gotti, na yeye aliizidia sana Serikali mpaka Rais Clinton, akaamua uamuzi mgumu na kumfunga kwa kuizunguka Sheria, ili kuirudishia heshima na Legitimacy Serikali, Serikali ya CCM inaanza kukosa Legitimacy kwa sababu ya this one man, basi ifike mahali ikubali kushindwa na kumpa anachokitaka yaani URAIS, maana hii sasa imekua kero isiyokwisha na inakimaliza chama mwisho itamaliza hata taifa!

MUCH RESPECT PEOPLEs!

William @...NYC, USA: Mutuz Le Baharia!

Mkuu le mutuz,jana 30.5.2015 lowasa katangaza nia ya kuanza safari ya matumaini akiongozwa na hirizi ya serikali ya ccm,mzee kingunge ngombale mwiru,wewe vipi nini mawazo yako juu ya hilo?
 
Back
Top Bottom