LOWASSA Vs CCM: CCM Wakati Ni Sasa Wa Maamuzi Magumu ya Kusuka au Kunyoa!

(Lowassa+Rostam) hawa ndo waliomuweka JK madarakani hawa ndo mabosi wa JK itakuwa ni ndo kusubiri JK amwajibishe boss wake Lowassa
 
- Well, sasa umefika wakati wa Serikali ya CCM kuamua moja either kumuachia Lowassa Serikali, au kuridhisha Katiba na kuwa Serikali halali iliyochaguliwa kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri. I mean what has gone wrong na hili taifa? Kila kukicha it is Lowassa and Lowassa, and Lowassa and Lowassa! What is wrong na CCM? I mean how much money does this man has ambazo toka tumeanza kumsikia akizitumia ku-manipulate our politics haziiishi tu na wala hazithibitiwi na Serikali on uhalali wake?

- CCM ifike mahali sasa tuambiane ukweli, kama we can't stop this man basi tumuachie hiii Serikali kuliko hizi never ending Dramas behind the Scene, WHY? Who is this man? Huku US kuna wakati kulikuwa na Mafia John Gotti, na yeye aliizidia sana Serikali mpaka Rais Clinton, akaamua uamuzi mgumu na kumfunga kwa kuizunguka Sheria, ili kuirudishia heshima na Legitimacy Serikali, Serikali ya CCM inaanza kukosa Legitimacy kwa sababu ya this one man, basi ifike mahali ikubali kushindwa na kumpa anachokitaka yaani URAIS, maana hii sasa imekua kero isiyokwisha na inakimaliza chama mwisho itamaliza hata taifa!

MUCH RESPECT PEOPLEs!

William @...NYC, USA: Mutuz Le Baharia!

Naunga mkono hoja hii.Mwenyekiti ambaye ni Rais ana madaraka mengi na makubwa lakini ni weak na hii ndiyo inayomsaidia huyo Dalali wa RICHMOND
 
Kibaya alichokisema ni kipi huoni kama ni kweli tupu aliyoongea?acha wivu wa kike
 
Naunga mkono hoja hii.Mwenyekiti ambaye ni Rais ana madaraka mengi na makubwa lakini ni weak na hii ndiyo inayomsaidia huyo Dalali wa RICHMOND

Badala ukawaamue lema na zito unleta upuuzi wako huku,hata siku moja huwezi ukawa na jambo la msingi la kuzungumza kuhusu lowassa na CCM so nyamaza kimya.
 
Siku moja nimesafiri na mama mkimbizi kutoka Sierra Leone kwenye metro. Nilizungumza naye kuhusu hali nchini mwao ambako waasi wa kundi la RUF walikuwa wakiwakata raia mikono, masikio na viungo vinginevyo vya mwili. Nikamwuliza, je, unadhani suluhu ya tatizo la Sierra Leone ni nini? Akajibu, ni kuwaachia waasi wachukue serikali. Angalau wataacha kukata watu mikono. Naona na sisi Tanzania tumeshafikia hali hiyo. Lowassa, kwa kutuibia na kutajirika kwa kutumia migongo yetu, hivi leo hana tofauti na waasi wa RUF. Kwa Watanzania waliokata tamaa watasema kwamba njia pekee ni kumwachia Lowassa uongozi wa nchi. Lakini kwa Watanzania wenye matumaini, nikiwemo mimi, tunasema kuwa Lowassa hatufai. Hafai kuwa kiongozi wa Tanzania inayoelekea karne ya 21. Ameiba vya kutosha, amedhulumu vya kutosha abaki na mali zake lakini hafai kuwa kiongozi wa nchi. Tanzania deserves better.
.

umenena yaliyo bora machoni pa mungu. huwa siwaelewi baadhi ya watu katika nchi hii kabisa na nataka niamini kuwa kweli bado baadhi yetu tuna umaskini wa fikra tena sana. Hivi hatuna watanzania wasio na madoa wala kashfa hata kama ni za kutungiwa si za kweli ambao wanao faa kuwa rais wa nchi yetu mpaka awe Lowasa? WHY HIM?

Naomba ajitokeze mtu hapa JF atuambie WHY LOWASA? and WHY not MWAKYEMBE or MAGUFULI?
 
Rais wa Tanzania atatoka miongoni mwa hawa.
1. Membe
2.Mwakyembe
3. Wassira
4. Magufuli
5. Asha-rose
6. Nchimbi
7. Mwinyi Jr

Lakini sio Lowassa
 
- Well, sasa umefika wakati wa Serikali ya CCM kuamua moja either kumuachia Lowassa Serikali, au kuridhisha Katiba na kuwa Serikali halali iliyochaguliwa kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri. I mean what has gone wrong na hili taifa? Kila kukicha it is Lowassa and Lowassa, and Lowassa and Lowassa! What is wrong na CCM? I mean how much money does this man has ambazo toka tumeanza kumsikia akizitumia ku-manipulate our politics haziiishi tu na wala hazithibitiwi na Serikali on uhalali wake?

- CCM ifike mahali sasa tuambiane ukweli, kama we can't stop this man basi tumuachie hiii Serikali kuliko hizi never ending Dramas behind the Scene, WHY? Who is this man? Huku US kuna wakati kulikuwa na Mafia John Gotti, na yeye aliizidia sana Serikali mpaka Rais Clinton, akaamua uamuzi mgumu na kumfunga kwa kuizunguka Sheria, ili kuirudishia heshima na Legitimacy Serikali, Serikali ya CCM inaanza kukosa Legitimacy kwa sababu ya this one man, basi ifike mahali ikubali kushindwa na kumpa anachokitaka yaani URAIS, maana hii sasa imekua kero isiyokwisha na inakimaliza chama mwisho itamaliza hata taifa!

MUCH RESPECT PEOPLEs!

William @...NYC, USA: Mutuz Le Baharia!

sasa naamin ukubwa mwili xiyo ukubwa wa akili!!lowassa anakuwasha?
 
mbona munamhofu sana, au kwasababu mnaona ana nguvu za kuwashinda?hahahaha
 
- Well, sasa umefika wakati wa Serikali ya CCM kuamua moja either kumuachia Lowassa Serikali, au kuridhisha Katiba na kuwa Serikali halali iliyochaguliwa kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri. I mean what has gone wrong na hili taifa? Kila kukicha it is Lowassa and Lowassa, and Lowassa and Lowassa! What is wrong na CCM? I mean how much money does this man has ambazo toka tumeanza kumsikia akizitumia ku-manipulate our politics haziiishi tu na wala hazithibitiwi na Serikali on uhalali wake?

- CCM ifike mahali sasa tuambiane ukweli, kama we can't stop this man basi tumuachie hiii Serikali kuliko hizi never ending Dramas behind the Scene, WHY? Who is this man? Huku US kuna wakati kulikuwa na Mafia John Gotti, na yeye aliizidia sana Serikali mpaka Rais Clinton, akaamua uamuzi mgumu na kumfunga kwa kuizunguka Sheria, ili kuirudishia heshima na Legitimacy Serikali, Serikali ya CCM inaanza kukosa Legitimacy kwa sababu ya this one man, basi ifike mahali ikubali kushindwa na kumpa anachokitaka yaani URAIS, maana hii sasa imekua kero isiyokwisha na inakimaliza chama mwisho itamaliza hata taifa!

MUCH RESPECT PEOPLEs!

William @...NYC, USA: Mutuz Le Baharia!

mi hata sikushangai,huo na akil yako havina ushirkiano!!mi nafikir ungekuw na akili sa ungerudi kutoka huko ulipo ukamsaidie mzee malechela ambaye amezeeka udenda unamtok muda wote
 
Wana JF, nimekuwa nikilisema hili mara kwa mara (fuatilia posting zangu za nyuma kuhusu Lowasa) kwamba Lowasa hakupewa muda wa kujieleza mbele ya tume ya akina Mwakyembe. Kila mtuhumiwa aliitwa kujieleza mbele ya tume na wengine walifuatwa mpaka America, lakini cha kushangaza zaidi Lowasa hakuitwa wala kupigiwa simu na tume husika na wakati ofisi ya Lowasa haikuwa mbali na ofisi ya tume husika.

Lowasa kama angeitwa mbele ya tume basi haya anayoyasema leo ndani ya vikao vya CCM angeliyasema mbele ya tume na ukweli ungelijulikana mapema sana. Na pia ikumbukwe kwamba katika ripoti Mwakyembe alisema kuna mengine hawezi kuyasema kwa kuifichia siri serikali. Alikuwa na maana gani kusema hivyo wakati sisi walipa tumetoa pesa zetu ili uchunguzi wa kina ufanywe na tupewe ukweli bila kuficha?. Ninarudia kusema na nitarudia kusema kwamba Lowasa alionewa, hakutendewa haki, alifanywa mbuzi wa kafara.

Hapo kwenye nyekundu siri aliyoficha Mwakyembe ni kwamba Mke wa Lowassa alienda kuipigia magoti tume imlinde mumewe, mbona baadae Mwakyembe alikuja kusema hukusikia mkuu?
 
Bwana Willy heshima kwako, naunga mkono hoja, Ila niko tofauti na wale wanaosema kwamba Jk atamwachia inchi Lowassa kwa mantiki kwamba it is apparently, beyond any d aught familia ya JK(mke wake na mtoto wake huyo RITZ) wanamsupport Membe kwenye mbio za urais sasa je Kiwete amufagilie Lowassa ambaye ni rafiki tu amtose mke wake? Hapo Wlly naomba jibu, mke na rafiki na bora?
 
- Well, sasa umefika wakati wa Serikali ya CCM kuamua moja either kumuachia Lowassa Serikali, au kuridhisha Katiba na kuwa Serikali halali iliyochaguliwa kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri. I mean what has gone wrong na hili taifa? Kila kukicha it is Lowassa and Lowassa, and Lowassa and Lowassa! What is wrong na CCM? I mean how much money does this man has ambazo toka tumeanza kumsikia akizitumia ku-manipulate our politics haziiishi tu na wala hazithibitiwi na Serikali on uhalali wake?

- CCM ifike mahali sasa tuambiane ukweli, kama we can't stop this man basi tumuachie hiii Serikali kuliko hizi never ending Dramas behind the Scene, WHY? Who is this man? Huku US kuna wakati kulikuwa na Mafia John Gotti, na yeye aliizidia sana Serikali mpaka Rais Clinton, akaamua uamuzi mgumu na kumfunga kwa kuizunguka Sheria, ili kuirudishia heshima na Legitimacy Serikali, Serikali ya CCM inaanza kukosa Legitimacy kwa sababu ya this one man, basi ifike mahali ikubali kushindwa na kumpa anachokitaka yaani URAIS, maana hii sasa imekua kero isiyokwisha na inakimaliza chama mwisho itamaliza hata taifa!

MUCH RESPECT PEOPLEs!

William @...NYC, USA: Mutuz Le Baharia!
Legitimacy ya Serikali ilikwisha tulipokubali Rushwa kuwa sera mojawapo ya chama cha mapinduzi!! Lowasa aachwe!!
 
Naona kivuli cha Edo kinawatesa na bado mpaka kufika mwaka 2015 CCM lazima watajuta na usitarajie ccm wamtoe Edo hakuna anayeweza kumtoa nakuambia lest wait time will tell
 
JF Senior Expert Member
verified.png
Array

Join Date : 15th March 2009
Posts : 5,482
Rep Power : 6423
Likes Received2335
Likes Given1873

[h=2]
icon1.png
LOWASSA Vs CCM: CCM Wakati Ni Sasa Wa Maamuzi Magumu ya Kusuka au Kunyoa![/h]
- Well, sasa umefika wakati wa Serikali ya CCM kuamua moja either kumuachia Lowassa Serikali, au kuridhisha Katiba na kuwa Serikali halali iliyochaguliwa kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri. I mean what has gone wrong na hili taifa? Kila kukicha it is Lowassa and Lowassa, and Lowassa and Lowassa! What is wrong na CCM? I mean how much money does this man has ambazo toka tumeanza kumsikia akizitumia ku-manipulate our politics haziiishi tu na wala hazithibitiwi na Serikali on uhalali wake?

- CCM ifike mahali sasa tuambiane ukweli, kama we can't stop this man basi tumuachie hiii Serikali kuliko hizi never ending Dramas behind the Scene, WHY? Who is this man? Huku US kuna wakati kulikuwa na Mafia John Gotti, na yeye aliizidia sana Serikali mpaka Rais Clinton, akaamua uamuzi mgumu na kumfunga kwa kuizunguka Sheria, ili kuirudishia heshima na Legitimacy Serikali, Serikali ya CCM inaanza kukosa Legitimacy kwa sababu ya this one man, basi ifike mahali ikubali kushindwa na kumpa anachokitaka yaani URAIS, maana hii sasa imekua kero isiyokwisha na inakimaliza chama mwisho itamaliza hata taifa!

MUCH RESPECT PEOPLEs!

William @...NYC, USA: Mutuz Le Baharia!

Badala ukawaamue lema na zito unleta upuuzi wako huku,hata siku moja huwezi ukawa na jambo la msingi la kuzungumza kuhusu lowassa na CCM so nyamaza kimya.
Anyamzie viwavi na wezi wanaoiba kodi zetu na kulumbana!! Kila mmoja ana haki ya kuyahoji na kuyajadili majambazi ya kodi zetu! Matokeo ya yale malori yaliyojaa noti zetu yaliyomweka JK madarakani ni haya!! Tulieni wembe upite!!
 
Back
Top Bottom